Nimeona mabadiliko makubwa kwa Millard Ayo na Michuzi.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Wakuu zamani ukipita kwenye hizi site zilikuwa zimechafuka kwa matangazo. Hadi unaikuta habari unakuwa umepita matangazo si chini ya matano.
Leo nimepita nakuta kweupe kabisa. Nini kimewapata?
 
Back
Top Bottom