Nimeona korosho ina kichwa kama cha mtu... one maajabu haya

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,890
Haya mambo haya ya kusema korosho ni fitina za mabeberu

Nimejikuta nacheka tu wakati nacheki huo mjadala ikaja korosho moja ina kichwa cha mtu haki nimechekaa

Angalia hiyo korosho hapo katikati ya hizo pillarz za korosho
tapatalk_1559422565927.jpeg
 
Haya mambo haya ya kusema korosho ni fitina za mabeberu

Nimejikuta nacheka tu wakati nacheki huo mjadala ikaja korosho moja ina kichwa cha mtu haki nimechekaa

Angalia hiyo korosho hapo katikati ya hizo pillarz za koroshoView attachment 1114626
Haujakodolea vzuri hiyo picha. Hata ile ha kushoto inaonesha mzee mmoja kapozi kwa jaziba kishenzi, hacheki na mtu, kafura kwelikweli.
 
Back
Top Bottom