Nimeombwa niende kwa Bulldozer mwamposa

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,476
11,628
Nimepewa kipeperushi hapa
Kuna ibada inatwa sijui ya kukanyaga mafuta..
Yani mguu unauma.. Kila mtu nenda kwa mwamposa.. Yani utapona kabisa.. Imani yako tu
Mwingine tena kanijia na kipeperushi leo na maji waliyouziwa yana upako. Na kipande vha keki ukubwa kama pipi toffee kinfungwa kwenye nailoni.
Naambiwa omba halafu kula hiyo shushia na hayo maji

Iam speechless
Sipendi haya makanisa local. Sijui kwanini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepewa kipeperushi hapa
Kuna ibada inatwa sijui ya kuknyaga mafuta..
Yani mguu unauma.. Kila mtu nenda kwa mwamposa.. Yani utapona kabisa.. Imani yako tu
Mwingine tena kanijia na kipeperushi leo na maji waliyouziwa yana upako. Na kipande vha keki ukubwa kama pipi toffee kinfungwa kwenye nailoni.
Naambiwa omba halafu kula hiyo shushia na hayo maji

Iam speechless
Sipendi haya makanisa local. Sijui kwanini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa maji na hicho kitofee utupe mrejesho.
Wachukie maji na ibada zao zisipokusaidia. Hahaha usije shangaa ukajikuta umeolewa na mmoja wao ukabadiri jina na kuwa manamchungaji.
 
Nimepewa kipeperushi hapa
Kuna ibada inatwa sijui ya kukanyaga mafuta..
Yani mguu unauma.. Kila mtu nenda kwa mwamposa.. Yani utapona kabisa.. Imani yako tu
Mwingine tena kanijia na kipeperushi leo na maji waliyouziwa yana upako. Na kipande vha keki ukubwa kama pipi toffee kinfungwa kwenye nailoni.
Naambiwa omba halafu kula hiyo shushia na hayo maji

Iam speechless
Sipendi haya makanisa local. Sijui kwanini

Sent using Jamii Forums mobile app

Hongera kwa mwaliko huo....
Mimi husali kwa kutafakari Rozari Takatifu vinginevyo nikupe mwaliko wa kwenda kuongea na/ kumuabudu Yesu wa Ekaristi Takatifu.
Fika pale kanisa la Mt Yosefu ukaponywe mguu kwa sala na maombi yako kwa Yesu wa Ekaristi Takatifu.
 
Kwenye lile lisanamu likuuuubwa, waabudu sanamu mutaacha lini??, athauakbar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom