Nimeombwa hela ya mchango wa mwenge hapa kiwandani kwangu

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,670
Asubuhi kabisa leo wakati ndio kwanza nafungua kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi,

Nimetiwa mkosi na hawa maofisa wanaopita kwa kila mwenye fremu au kibanda cha biashara wanadai 5K ya mchango wa mwenge,

Yaani ndio ile nimefungua tu kiwanda naosha osha vyombo na kabati sijaanza ata kumenya Viazi yaani ata ile kuuza sahani moja ya kiepe kavu naombwa 5k ya mchango,

Bora ata ungekuwa mchango maybe wa mtu anaumwa yuko hoi au ata msiba.

Kwani kuna Ulazima wa kukimbiza mwenge kila mwaka ilihali serikari haina uwezo wa kumudu gharama kweli.

Note
Nimefunga kiwanda changu nitafungua kesho naona tayari wameshanitia mkosi.

Cc Zero IQ
 
Bora ukanunue papuchi kuliko kuwapa pesa hao wahuni. Bajeti ya huo mwenge mwaka huu ni zaidi ya bilioni 300 lakini wanalificha hili maana ni ubadhirifu mkubwa wa pesa za walipa kodi na wao wanajua fika.

Asubuhi kabisa leo wakati ndio kwanza nafungua kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi,

Nimetiwa mkosi na hawa maofisa wanaopita kwa kila mwenye fremu au kibanda cha biashara wanadai 5K ya mchango wa mwenge,

Yaani ndio ile nimefungua tu kiwanda naosha osha vyombo na kabati sijaanza ata kumenya Viazi yaani ata ile kuuza sahani moja ya kiepe kavu naombwa 5k ya mchango,

Bora ata ungekuwa mchango maybe wa mtu anaumwa yuko hoi au ata msiba.

Kwani kuna Ulazima wa kukimbiza mwenge kila mwaka ilihali serikari haina uwezo wa kumudu gharama kweli.

Note
Nimefunga kiwanda changu nitafungua kesho naona tayari wameshanitia mkosi.

Cc Zero IQ
 
Asubuhi kabisa leo wakati ndio kwanza nafungua kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi,

Nimetiwa mkosi na hawa maofisa wanaopita kwa kila mwenye fremu au kibanda cha biashara wanadai 5K ya mchango wa mwenge,

Yaani ndio ile nimefungua tu kiwanda naosha osha vyombo na kabati sijaanza ata kumenya Viazi yaani ata ile kuuza sahani moja ya kiepe kavu naombwa 5k ya mchango,

Bora ata ungekuwa mchango maybe wa mtu anaumwa yuko hoi au ata msiba.

Kwani kuna Ulazima wa kukimbiza mwenge kila mwaka ilihali serikari haina uwezo wa kumudu gharama kweli.

Note
Nimefunga kiwanda changu nitafungua kesho naona tayari wameshanitia mkosi.

Cc Zero IQ
Oooooohhhhhh
 
Ninja upo?
 
Hakikisha huo mwenge ukiwa maeneo yenu unauza chips za kutosha.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom