Nimeomba Second Round nimerudi kwenye profile yangu nimekuta hivi

seyf22

Member
Aug 1, 2016
84
21
Yani niliomba second round ..sasa nimerudi kucheki kweny profile nikitaka add program mana nimejaza course nne tu nilipotaka ni add ya tano nambiwa ivo..kwenye profile yang!! kwaiyo inamanisha nimepita second round??

IMG_20160914_071615.JPG
 
Yani niliomba second round ..sasa nimerudi kucheki kweny profile nikitaka add program mana nimejaza course nne tu nilipotaka ni add ya tano nambiwa ivo..kwenye profile yang!! kwaiyo inamanisha nimepita second round??

HONGERA NA UMUSHUKURU MH RAIS
 
MK
Yani niliomba second round ..sasa nimerudi kucheki kweny profile nikitaka add program mana nimejaza course nne tu nilipotaka ni add ya tano nambiwa ivo..kwenye profile yang!! kwaiyo inamanisha nimepita second round??
Mkuu hata mm nimeona hivo jana ila leo imerudi kawaida niongeze course 2nd round. Utujuze itakuaje baada ya masaa matatu
 
Yani niliomba second round ..sasa nimerudi kucheki kweny profile nikitaka add program mana nimejaza course nne tu nilipotaka ni add ya tano nambiwa ivo..kwenye profile yang!! kwaiyo inamanisha nimepita second round??
Dogo huwezi kufanya lolote tena kwenye profile yako mana tayari umesha chaguliwa so we subiri tu chuo ulicho pangiwa
 
Jifunze kuelewa kingereza simple kama hicho,umeishachaguliwa subiri majibu ya mwisho ya chuo ulichopangiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom