Nimeolewa ila huyu mkaka mbaya sana

Kuna kajamaa kananitaka niachie ngazi kwa mume wangu. Yaani niwe naye kama mke na mume nimuache mume wangu niliyenaye sasa hivi. Ni hivi nilienda supermarket kwa mkijana mmoja mzuri sana mrefu wastani na anavutia .

Sisi wadada tunapenda matunzo na pesa kweli anajitoa. Shida hajui na mume mie KATOTO KAZURI KAWATU. Sasa siku moja mume wangu akaungusha picha akaniambia twende shopping wote (supermarket ya jamaa anayenifukuzia ) sijui alisanuka kwamba katoto kanaibiwa (ambaye ni mimi )nanikasukari si chumvi basi tukaenda huko kwa huyu mchepuko wangu kazuri kadogo kanasix paki kazuri eti.(mwenye supermarket).

Kaarabu(mwenye supermarket) wala sio koko basi but ni mwarabu kabisaa. Mume wangu kaanza visa vya mwenye punda ), baby njoo nataka hiki njoo vile njoo hivi humo supermarket kwa jamaa alikuwa ananiganda I mean mume wangu

Yule kaka akamezea mate vyote Mume wangu alivyokuwa anafanya huko supermarket kwa jamaa. Mume wangu alilipa makusudi vitu vyote tulivyonunua na kumwachia tipu kuwa asinizoe mie mke wa mtu hajanishindwa kwa matunzo akae mbali. Mwonyeshelea vituko mara kisses nakubanana kama ndizi na akasema hivi ,( mume wangu huyo ) huyu ni mke wangu akija hapa tafadhali jua ni mke wa mtu .

Yule kaka akadai sawa bossy (mwenye supermarket). Tukaondoka

Leo nilikuwa naenda mjini akanisimamisha akaniambia na mazungumzo na wewe. Dah jioni narudi na kababy kangu wee akasema aniue, anichinje ila MKE WA MTU MTAMU NITAFAITI HATA NILE TUNDA NITAFANYA KILA KITU NIKUPATE.

Nisaidieni ndoa haina hata kamiaka ni mwaka na hao wakina zero minded hao wanasumbua .
Mwanamke akishapenda hamna namna tena yan unataka tukushauri wakati ushapanga kugawa uroda
 
umeandika lugha gani hapa
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom