Nimeokota kitambulisho cha Mpiga Kura cha ndugu Faibeth Z. Masunzu

kabingo

Senior Member
Oct 16, 2015
115
118
Kama detail zake zinavyoonekana kama kuna mtu anamfahamu basi kitambulisho chake nilikiokota kulingana na umuhimu wake nimeona nikiweke hapa kama kuna mtu anaweza kumjua anaweza au kama mwenyewe yuko humu anaweza kuniche ili nimpatie kitambulicho chake. Pengine mambo yake mengine yanakwama kwa kukikosa
 

Attachments

  • IMG_20170113_120535.jpg
    IMG_20170113_120535.jpg
    24.6 KB · Views: 343
sio ustaarabu kuweka umri wa mwanamke hadharani mkuu, ungeacha jina tu ingetosha
 
Utakuta ana RB ya kuibiwa mkoba uliokuwa na milioni kumi pamoja na vitambulisho kikiwemo hicho cha mpiga kura. hapo ndipo utaita maji mma.


Vitu vingine peleka posta watamtafuta usije ukanunua kesi.

Ni ushauri tu
hapo ndio atajua kwanini chips hazina ukoko
 
Kwani tatizo nini hapo yeye kapiga picha kitambulisho kama kilivyo ilimwenenacho aweze kukitambua!
kwani angetaja tu jina mwenyewe si anajua kitambulisho chake kimepotea? Kuweka kitambulisho namna hio kunahatarisha taarifa za huyu mama hadharani bila sababu.
 
kutaja umri kutamuathiri kivipi.Mbona alimtajia mwandikishaji hata mtandao wa EC una data zake.Mambo mengine bwana!
 
Utakuta ana RB ya kuibiwa mkoba uliokuwa na milioni kumi pamoja na vitambulisho kikiwemo hicho cha mpiga kura. hapo ndipo utaita maji mma.

Vitu vingine peleka posta watamtafuta usije ukanunua kesi.

Ni ushauri tu
Kama umeokota na umepeleka ofisi ya Serikali au polisi huwezi kununua kesi hata kama huyo MTU aliuwawa.
 
Kipeleke huko Makongo shule ya msingi ofisi ya Serikali ya mtaa watamtafuta au kutangaza msikitini au makanisani atapatikana tu.
 
Back
Top Bottom