Una akili sana wewe,halafu katika hizo TV mia nitaziuza 99 na kubakia na moja. Nalog offNunua DVD halafu tuma SMS nyingi VODA ujishindie TV mia.
Aminia na ikiwezekana fagilia, we ukifika tu nistue ili nami nitie timu. Nalog offacha ujinga wewe njoo calabash tuweke heshima wewe
Uko maeneo gani nikutafute babaangu?Nalog offAiseeee babaangu si uje naso huku kwenye bar ya meku tusiombee,singimne sinakuwaga na mashetani eti.
Hamna noma nituchukua kompyuta ili niifaidi vizuri JF.Nalog offMkuu nilidhani utamshauri profesional, kwamba ananunue Computer ili apige ndege watatu kwa jiwe moja, yaani atapata tv humo humo na dvd humo humo na JF humo humo.
Thanks for your advice,i will buy a big screen TV.Nalog offBuy tv
ushanitisha,ina maana utautuma msukule uje kuilamba? Mpaka sasa hivi imebaki R2000. Nalog offjapo ni yakwangu lakini nimekupa,
wahi kanunue chochote kwani unaweza
ukakuta haipo hata pale kibindoni ulipoiweka.
ushanitisha,ina maana utautuma msukule uje kuilamba? Mpaka sasa hivi imebaki R2000. Nalog off
Nafikiri wewe ndiye utakayekuwa na stress kwasababu hukusoma hii thread yote,nimekwisha jibu hilo swali kuwa ni South African Rand.Soma vizuri mkuu usikurupuke kupost,soma post #53,#58 na #63.Nalog offNimegundua kuna watu hapa Jf wanakuja ku-refresh minds baada ya kupata stress uko mitaani na makazini.
Mtoa thread anaulizwa R ni currency gani, Rand au Rupee, anabaki kuruka ruka tu.
Nimegundua kuna watu hapa Jf wanakuja ku-refresh minds baada ya kupata stress uko mitaani na makazini.
Mtoa thread anaulizwa R ni currency gani, Rand au Rupee, anabaki kuruka ruka tu.
pole sana kwa kutapeliwa ndugu yangu,ila hizi nilizoziokota mimi sio fake aisee.Nalog offni mi nimetapeliwa izo pesa, na mnijeria nikaamua kuzitupa ni fek. Nakushauri zitupe utafungwa babangu.
Nalog in.ushamba wa kuokota hela au ushamba upi sasa? nchi niliyokuwepo mimi R1=3.5mt kwa maana hiyo najua thamani yake.Hivi ni kwanini unakurupuka kujibu kabla hujaelewa?Nalog off
nimeshanunua tv mkuu,na nimeazima dvd machine kwa jirani naangalia picha la cho ko mwenye nuksi ah samahani nimekosea kuandika ni Chuck Norris.Nalog offushanunua, kama bado nna deki ya VHS nausa hapa. Na ntakupa bonas ya mkanda wa rambo first blood.
hakuna noma sintofanya hivyo.Nalog offusi log off lakini...
imetulia log in tukuone.Nalog offNalog in.