Nimeoka kutoka JF,uteja basi!

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
kuna mabadiliko yametokea ghafla kwenye maisha yangu,labda sala za mke wangu zimeniokoa,nilikuwa teja wa jf kwa kipindi kirefu na hiyo hali iliniletea kutokuelewana na familia yangu hasa mama watoto
lakini nina kama mwezi hali imebadilika yenyewe,nimejikuta uteja kwisha na wakati mwingine nasahau kama kuna jf,namaliza mwezi au weeks bila kufikiria na kufungua jf,,thank you God!
 
Join Dte: June 2011
Post: 311.

Eti umekuwa teja wa JF kwa muda mrefu? Kichefuchefu. Jf ya GTs wewe haikufai bro.
Au unamaanisha uteja ule mwenyewe, maana bange zikishapanda kichwani huchagui la kusema.
Sasa tena umefuata nini humu, si ulikuwa umeokoka, kwa nini unarudia tena matapishi yako.
 
mkuu usikimbie moja kwa moja jf utakosa mambo mengi.
panga ratiba zako vizuri ili usimuudhi wife.
 
kuna mabadiliko yametokea ghafla kwenye maisha yangu,labda sala za mke wangu zimeniokoa,nilikuwa teja wa jf kwa kipindi kirefu na hiyo hali iliniletea kutokuelewana na familia yangu hasa mama watoto
lakini nina kama mwezi hali imebadilika yenyewe,nimejikuta uteja kwisha na wakati mwingine nasahau kama kuna jf,namaliza mwezi au weeks bila kufikiria na kufungua jf,,thank you God!

nakumbuka wiki chache zilizopita ulianzisha thread ID zako zimefutwa na mods na ukadai zirudishwe ni muhimu sana ...!

anyways Hongera! si bado tupotupo sana tu

"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

Lakini mkuu hata hivyo mbona sioni kama post zako ni nyingi kiasi ambacho tunaweza kusema kweli muda mwingi unajikita huku? au ulikuwa unaingia kama guest? :rant:
 
Una matatizo wewe, huna hata miezi 6 mara ushakuwa teja. Na wenye miaka humu ndo tuwaiteje? Nakushauri jaribu kupangilia muda wako na kuutumia vizuri.

Mayai ni chakula bora, lakini hebu uwe unakula mayai tu, hadi ugali upike wa mayai uone kitakachokupata!
 
watu wanapigwa ban humu,wengine wakihisi usalama wanawatrack wanabadilisha id,..kwa hiyo usione mtu kajoin june 2011 ukadhani ni mgeni kwenye comments,..mimi binafsi nimeshabadili id zaidi ya mara 2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom