Nimeoa mwaka wa tatu huu naenda lakini sijabahatika mtoto mimi na mke wangu

Nimeoa mwaka wa tatu huu naenda lakin sijabahatika mtoto mimi na mke wangu.

Mwanzo mkewangu alikua na shida ya uvimbe tukafanya oparataion amekaa sawa kwamjibu wa madaktari sasa tumekua tukilima kwelikweli tupata ki g kama cha majizo na lulu wapi.

Naandika kwa utani ili upate mud ya kusoma lakini ni seriously thing kwahyo hatujapata mimba wala dalili. Tumeshaenda sehem mbalimbali tumedunda, nakumbuka kuna dr mmoja alituita mmoja mmoja ndan nikaulizwa vip nje huna mtoto nilisema ninae nilizaa kabla sijamuoa huyu akauliza hujajaribu nje kujua labda nikakataa.

Lakin nikapata wazo la kujaribu kwasababu nilishapimaga mbegu nikaaambiwa siombaya ila hazina guv saaaana za kuogelea nikachukua jukum ku try out mpaka sasa tumetoa mimba 3 wanawake wa3 tofauti.

Ushauri wenu nifanyeje? Tunahitaji familia.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu wewe unawapa wanawake mimba huko kisha unatowa halafu unataka mke wako azae??
 
Mtu mweusi ni Kima aliechangamka!Imagine wakati wazungu wako very busy na majukumu mazito kama vile kufanya tafiti za kuondoa uwezekano wa kifo kwa binadamu,tafiti za time travel,tafiti za kutengeneza quantum computer,tafiti za kugundua viumbe hai kwenye sayari nyingine,tafiti za kugundua dawa za magonjwa sugu na kadhalika sisi hapa Afrika tupo busy kuzungusha mboro zetu kuangalia kama tutapata watoto ambao hatuna hata uwezo wa kuwatengenezea chanjo ya polio!WTF!!!
Wewe ni miongoni mwa matahira wanaishi katikati ya wenye akili.
 
Nimeoa mwaka wa tatu huu naenda lakin sijabahatika mtoto mimi na mke wangu.

Mwanzo mkewangu alikua na shida ya uvimbe tukafanya oparataion amekaa sawa kwamjibu wa madaktari sasa tumekua tukilima kwelikweli tupata ki g kama cha majizo na lulu wapi.

Naandika kwa utani ili upate mud ya kusoma lakini ni seriously thing kwahyo hatujapata mimba wala dalili. Tumeshaenda sehem mbalimbali tumedunda, nakumbuka kuna dr mmoja alituita mmoja mmoja ndan nikaulizwa vip nje huna mtoto nilisema ninae nilizaa kabla sijamuoa huyu akauliza hujajaribu nje kujua labda nikakataa.

Lakin nikapata wazo la kujaribu kwasababu nilishapimaga mbegu nikaaambiwa siombaya ila hazina guv saaaana za kuogelea nikachukua jukum ku try out mpaka sasa tumetoa mimba 3 wanawake wa3 tofauti.

Ushauri wenu nifanyeje? Tunahitaji familia.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hizo mimba ulizotoa kuna sauti za watoto zinalia kwa sasa hivi hauwezi kuzikia.
 
Back
Top Bottom