Nimenyong'onyea baada ya kusikia mume wake alifariki

tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,306
2,000
True story.

Hapa mjini kwetu bana Nina bahati ya kutembea na wadada wauza migahawa na CHAKULA. Nadhani sijui ipoje hii, Kuna aina fulani ya Wanawake ukiwa na upepo nao basi ukimtongoza hatoki (Nikija daslama nitamjaribu shilole)

Basi bwana

Huku na huku, huku na huku, nikafahamiana na mdada flani naye ni muuza msosi ila yeye anafanya kutembeza na gari.
Usipime endelea kutembelea rim
 

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
7,347
2,000
True story.

Hapa mjini kwetu bana Nina bahati ya kutembea na wadada wauza migahawa na CHAKULA. Nadhani sijui ipoje hii, Kuna aina fulani ya Wanawake ukiwa na upepo nao basi ukimtongoza hatoki (Nikija daslama nitamjaribu shilole)

Basi bwana

Huku na huku, huku na huku, nikafahamiana na mdada flani naye ni muuza msosi ila yeye anafanya kutembeza na gari.

Baada ya kutest msosi wake nikaona ni mzuri, nikaendeleza huduma kwa muda wa miezi kadhaa.

Mwezi uliyopita nikaamua kumtongoza. Mwanzoni alionekana kuwa mguuumu. Lakini nikatumia jeki yangu ya kunyanyulia magari makubwa kama alivyo yeye hatimaye akaja akakaa kwenye lain.

Sikuwa na haraka sana ya kuomba pochi kwa kuendelea kumfahamu japo kiundani walau asilimia kadhaa.

Ni mdada flani bonge, mweusi, mpoole kimwonekano, amejazia nyuma (kama ujuavyo Mbeya tena) ana watoto wawili.

Siku MOJA katika mazungumzo ya hapa na pale nikamuuliza vipi mumeo / baba watoto yupo wapi? Akajibu ALIKUFA MWAKA JANA.

Dah nilihuzunika, lakini nikapata woga kidogo kwamba kitu Gani kilimuuwa kaka wawatu huyo.

Dah

Nilianza kuingia upepo na kuanza kupotezea mawasiliano naye, kwakuhofia labda

A. Huenda mzee alikufa kwa ngoma sasa dada naye amepata rasha rasha.

B. Huenda aliuliwa na MWANAUME ambaye naye anampenda huyu Mwanamke.

C. Mambo ya ushirikina.
D. Umri wake umekwisha kama watu wengine.

E. Huenda dada wawatu kutokana na kuondokewa na mpendwa wake bado Hana hisia za mapenzi.

Aisee Mwanamke aliyefiwa na mume huwa namuonea huruma Sana lakini pia naogopa Sana kuwa naye kimahusiano. Sijui kwanini.

NILICHOAMUA

Kwakuwa ana watoto wawili na mmoja tayari anasoma, basi nikamwambia kuwa nitakusaidia kuwalea na kumsomesha huyu anayesoma. Hatimaye nilijikuta napata ROHO flani ya huruma..

Nikamlipia dogo ada ya muhula huu mmoja

Sijatembea naye (kufanya naye zinaa) kwa sababu hisia zimekata Kiana.

Kumbe yeye ndio kwanza gari inapiga stata sasa. Mwaka mzima hajaingiliwa hivyo nimeamsha hisia zake za mapenzi.

Jana akaomba kuonana nami angalau tupige stori mbili tatu. Nkamwambia hewalla

Tukaenda mahala kupiga stori kadhaa. Wakati namuaga nikamsindikiza hadi karibu na kwake. Kufika sehemu ambayo Pana uwanja flani wa Mpira na Kuna kiza nikamshika na kumvuta na kumpiga denda flani la muagano.

Daaah .... Baadhi ya Wanawake Wana nyege mbaya Sana hususan kama ana muda mrefu hajasex.

Kilichotokea ni kwamba naomba Mungu tu dada yule awe hajaathirika.

Na sipimi NG'O
tupe mrejesho
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom