Nimenusurika kichapo mfungo huu wa ramadhani

Tena mi natafunaga tu mbele yaoo ,wananitoleaa mijicho tuu ,ila hawathubutuu huo upuuuzi ,juzii nilikuwa napiga tikiti langu mbele ya msikitii na maustadhii kama wotee ,naona kabisa wanamind ila ndo wakujitoa kafaraa anakosekana
Duh! Ilikua ni hapa hapa Zanzibar?!
 
Ewe SHETANI MWEUSI hiyo ndio kiu yenu kutaka kunywa DAMU YA WAZANZIBAR INAYOMWAGIKA BARABARANI, Lon hamtolipata hilo tunashukuru Mungu Latina wanasiasa wenye upeo na wabobezi wa sheria pia tunao
Kama vile waengereza walivyokupeni tanganyika yenu bila kuingia barabarani nanyi mtaitapika MAMA ZANZIBAR bila ya sisi kuingia barabarani

SHETANI MWEUSI MTAISUBIR SANA DAMU YETU ILA HAMTOIPATA
Hebu nipishe mie, maandishi unaandika ya kupayuka, hauwezi kutumia "sentence case"?
 
Hao malofatu.

Juzi tu niko huko na jamaa zangu katika harakari zetu za kiupambanaji kweli tukawa tunatafuna tafuna biscuti mara yakaja majamaa mbele yetu yakaanza kuruletwa ungese tukayakomalia na kuyatolea mimacho.

Yalivyoona maumbo yetu tumepanda na tumejazia yalikopotelwa hatujuwi.

Nilichogundua haya mangese yakikuona lofalofa yanakuletwa ungese pia
Hawa wazembe siku ni kuwazabua vibao tu, yan tena inabidi mnakula kabisa chakula cha mchana ukiwa na masela mnaojiamini mbele ya yao na majambia na sime kiunoni.
 
Huu uisilamu wa Zanzibar inabidi uangaliwe kwa jicho la tatu! Muda sio mrefu magaidi wa Alshabaab watazaliwa huko waanze ku-execute watu randomly kwa sharia law!

Majitu gaidi gaidi tu sijui yanalishwa nini kwenye hizo QURAN zao! It must be something very extremist!
 
Nisamehe GENERAL nilifikir ni wale wale nafuta neno langu CHIZI Mkuu lkn CONCEPT yangu utakuwa umeifaham
SAMAHANI SANA
Wewe dega una point mkuu,tatizo jazba zinakupanda mpaka unavuka mstari wa uvumilivu.
Pia elewa kuwa "Watanganyika" kama utuitavyo si wote ni CCM au wanapendezwa na CCM inavyofanya (Tanganyika na Zanzibar).
 
Wewe dega una point mkuu,tatizo jazba zinakupanda mpaka unavuka mstari wa uvumilivu.
Pia elewa kuwa "Watanganyika" kama utuitavyo si wote ni CCM au wanapendezwa na CCM inavyofanya (Tanganyika na Zanzibar).
Rejea Historia ya watanganyika ni wafiachama na Watanganyika watakua watu wa mwisho duniani kuleta mabadiliko ya kweli katika ngazi za utawala skafu,bendera,flana,ulanzi,buku saba ndio vinavyoamua nani awe nani Tanganyika Waliokunyimeni Elimu walikua na Kusudio kwenu
 
Rejea Historia ya watanganyika ni wafiachama na Watanganyika watakua watu wa mwisho duniani kuleta mabadiliko ya kweli katika ngazi za utawala skafu,bendera,flana,ulanzi,buku saba ndio vinavyoamua nani awe nani Tanganyika Waliokunyimeni Elimu walikua na Kusudio kwenu
Sasa kwani Zanzibar mna elimu gani sasa ya kutisha au kuna watu wangapi walishawahi kutunikiwa tuzo za nobel, kelele nyiingi, elimu kubwa mlio nayo ni ya kidini tu na jinsi ya kupambana wanao kula hadharani kipindi cha mfungo kama hiki.
Watu wazembe wazembe tu kazi kula urojo ndo maana hamna baunsa mZazibari maana gym kwao ni kama jela.
 
Huo ni uhuni tu kama uhuni mwingine, kitu hakipo hata kwny vitabu vya kidini afu wanasema ni sheria, yani sheria utunge binadamu kienyeji tu afu iwe kama ni imeamriwa katika vitabu vitakatifu, ni kitu cha kuomba tu na sio kumlazimisha mtu.
Subiri uje kuombwa kijana.
 
Mi ninavyo jua HASIRA na VISASI ni kazi za shetani. Najua pia mtu akiwa kwenye mfungo hua anakua karibu sana na Mungu and hence hata tabia zinaweza kufanana na tabia za Mungu kwa mbaaaali na ndio maana watu wakifunga huaga wanatoa vitu vyao kuwapa masikini nk, sijui aina hi ya hawa "wacha mungu" sijui kwanini wana hasira namna hi, ukweli sijui.
Mkuu hawa ni kinyume,yaani karibu wao ni mbali,fatilia hawachelewi kujipwaaaa ili kupata tiketi na kusamehewa madhambi.Daaa kweli dunia ni uwanja wa fujo
 
Mkuu hawa ni kinyume,yaani karibu wao ni mbali,fatilia hawachelewi kujipwaaaa ili kupata tiketi na kusamehewa madhambi.Daaa kweli dunia ni uwanja wa fujo
Ndio wajiulize kama kweli wana mungu ndani yao. Yani ufunge halafu tabia za Mungu zisiambatane na wewe? Sio Mungu huyo.
 
Kwanza kabisa naomba mnipe pole wanajamvi kabla hata ya kutoa maelezo yoyote yale.

Leo mida ya saa 6 mchana hv nlikua nakatiza mitaa flani hapa znz nikiwa natafuna zangu vikaranga tu vichache nilivyotoka navyo home, Eeeh bwana eeeh si nkashangaa ghafla tu nimezungukwa na njemba ka 5 hv.

Zikaanza kunihoji kwann nimekua mkaidi kiasi hicho cha kuwaharibia watu swaumu zao, yani nikawa najaribu kujielezea huku nimekwidwa kama kibaka.

Nikawaomba wazee waniachie kidogo nijieleze duh, mshikaji ameniachia shati tu nmechomoka kama mshale. Yaani siamini kama nimenusurika kula kichapo kutoka kwa masheikh asee.

Kwakweli sitarudia hata kumeza mate mbele ya watu ktk kipindi hiki cha mfungo hapa Zanzibar.
Matukio hufunza
 
Back
Top Bottom