mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,454
Ha ha ha.. mkuu, nyanya zinawekwa makemiko kibao, zinakomazwa kinguvu lazima ziwe na muundo huo
Duuu hiyo kucha umekata na shoka au jembe
Duu kumbe nyanya za kike ndivyo zinavyoonekana
Duu kumbe nyanya za kike ndivyo zinavyoonekana
1.Unajiita mtotomtamu...
2. Mikono ya kiume hiyo.. wewe ni mwanume au mwanamke?
3.Picha yako ya kike.
4. Unalala na bodaboda ndani?
Unaonaje ungeweka na picha yako?
Mbona ziko vizuri tu mkuu??Ana kucha nzuri tena safiDuuu hiyo kucha umekata na shoka au jembe