Nimenunua luku ya 2000 nimepata unit 16kWh..........mbona wengine tofauti why??????

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
......
...........Jamani huu umeme vipi??? mi nimenunua jana usiku wa 1000 nikapewa unit 8.2 kWh,RECEIPT EVG 237845076,baadae nikaongeza wa Tsh 2000 nikapewa unit 16.40kWh,hapa najiuliza huo wa elfu 10 nao nunuaga nitapewa unit ngapi???

TANESCO JU JU JU JU JU ............

kIdumu chama TaWala.......
 
itakuwa upo kwenye tarrif ya D1,

Umeme wa elfu moja (1,000) na wa elfu mbili (2,000)????
 
Back
Top Bottom