Nimenunua lori, niandikeje kwa nyuma?

Andika "Masikini akipata,
matako huliea mbwata."si unaopna mpaka tumejua
 
Andika "Afande acha shobo gari sio langu!" hii ni kuwakera maaskari watakaokuwa wanakusimamisha njiani.

"Kama umelipenda mkope babaako"

"Mkulungwa"
 
Gtmn76trttþ1q× m9xg
Andika Kama fuso flani inatokeaga njombe imeandikwa, " Somesha aolewe"

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ligi tatizo mda
Andika
1. Busara inakuja ukiishiwa pesa
2. Hata bibi alikuwa binti
3. Wapambe kaeni chonjo
4. Ikikukera kaa mbele wewe
5. Piga kelele usipite honi
5. Ukuipenda iga na wewe
6. Sio kila mzee ana busara wengine ni wajinga wameshazeeka
7. Hata kwetu wapo
8. Wahuni sio watu
9. Hata kipofu huota
10. Hawara hana talaka.


ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
WAHUNI WOTE PEPONI


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom