Nimenunua kuku wanne wa miezi mitatu

Wakuu Nahitaji Msaada.

Hii ni mashine ya kutotolea vifaranga. Panya wamekula hapo nilipozungushia duara.

Nahitaji Msaada WA jinsi ya kuziba hapo ili hewa isiingie wakati WA utotoleshaji.

IMG-20220621-WA0017.jpg
 
Back
Top Bottom