Nimenunua koti la mtumba lina pesa za Saud Arabia anaezijua anisaidie

Shamkware

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
1,739
2,242
Habari wana Jukwaa,

Kama kichwa cha habari hapo juu,

Siku chache zilizo pita Dar kulikuwa na mvua za hapa na pale, kwenye pita pita zangu nikakutana na muuza makoti ya mtumba, nikalipenda moja nikalinunua.

Baada ya kufika nyumbani nikawa nalisachi mifukoni ili nilifue, kwenye kimfuko kidogo cha ndani nilikuta kuna noti 5 za Saud Arabia.

Zimeandikwa hivi;
SAUDI ARABIA MONETARY AGENCY. ( ONE RIYAL 1)
ziko noti tano nimewaonesha na kuwauliza marafiki zangu wote hawazijui na mi nimeogopa kwenda sehemu za kubadilishia hela nikiwa na hela ambazo sizijui zina thamani gani, na Je zinatumika? Maana pembeni zimeandikwa 2012. Unaweza kupigwa pingu mwizi kumbe sijawahi dokoa hata mboga masikini wa Mungu.

Nimeleta kwenu humu kwa wanaozijua aniambie.

IMG_20171103_122824.jpg
 
Habari wana Jukwaa,
Kama kichwa cha habari hapo juu, Siku chache zilizo pita dar kulikuwa na mvua za hapa na pale, Kwenye pita pita zangu nikakutana na muuza Makoti ya mtumba, nikalipenda moja nikalinunua.

Baada ya kufika nyumbani nikawa nalisachi mifukoni ili nilifue,
Kwenye kimfuko kidogo cha ndani nilikuta kuna noti 5 za Saud Arabia.

Zimeandikwa hivi;
SAUDI ARABIA MONETARY AGENCY. ( ONE RIYAL 1)
ziko noti tano nimewaonesha na kuwauliza marafiki zangu wote hawazijui na mi nimeogopa kwenda sehemu za kubadilishia hela nikwa na hela ambazo sizijui zina thamani gani, na Je zinatumika? Maana pembeni zimeandikwa 2012. Unaweza kupigwa pingu mwizi kumbe sijawahi dokoa hata mboga masikini wa mungu.

Nimeleta kwenu humu kwa wanaozijua aniambie. View attachment 623249
1 Saudi Riyal equals
606.39 Tanzanian Shilling
 
Mleta thread pengine hajaenda job akidhani amesha yatusua maisha,

Hapa amesha pigia hesabu anaenda kungoa ile nyumba ya Lungumi inayo pigwa mnada
 
tumia kutongozea watoto wa kitanga au wazaramo.Ina thamani ikiwa hivyo kuliko ukibadirisha mkuu utashia kununua bia moja ya kirikuu
 
Habari wana Jukwaa,

Kama kichwa cha habari hapo juu,

Siku chache zilizo pita Dar kulikuwa na mvua za hapa na pale, kwenye pita pita zangu nikakutana na muuza makoti ya mtumba, nikalipenda moja nikalinunua.

Baada ya kufika nyumbani nikawa nalisachi mifukoni ili nilifue, kwenye kimfuko kidogo cha ndani nilikuta kuna noti 5 za Saud Arabia.

Zimeandikwa hivi;
SAUDI ARABIA MONETARY AGENCY. ( ONE RIYAL 1)
ziko noti tano nimewaonesha na kuwauliza marafiki zangu wote hawazijui na mi nimeogopa kwenda sehemu za kubadilishia hela nikiwa na hela ambazo sizijui zina thamani gani, na Je zinatumika? Maana pembeni zimeandikwa 2012. Unaweza kupigwa pingu mwizi kumbe sijawahi dokoa hata mboga masikini wa Mungu.

Nimeleta kwenu humu kwa wanaozijua aniambie.

View attachment 623249
 
Back
Top Bottom