Nimenasa kwa mke wa mtu mtarajiwa

Nimeshindwa kusoma yote
ila nimejiuliza why mtu unaonekana smart hadi kuandika details na tarehe kabbisa
ushindwe kufanya maamuzi rahisikabisa?

why mwanaume eti useme 'umenasa' huku unaona kuna hatari kubwa ya
kutatuliwa marinda au hata kuuwawa mbele yako?

unless hii story fake basi una 'moyo wa kike sana'
Ndefu sana
Nmeishia pale nmemaliza form six 2015..watoto walojaa humu kasheshe
 
Mchumba wa mtu huyo? Najua shetani atasingiziwa.
Anyway Huyo Dada dawa yake inachemka, akakumbuka alishachelewa, hivi anajuwa dhamani ya Mme kukutolea mahari, kaavha wangap?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom