Nimemwona CAG moyo ukanifanya paahh!

Nyie vijana wa huko chuoni ni lazima mjifunze kutafiti mambo with a historical perspective!!! Huyu Mussa Assad unayemuita kuwa ndio mwanaume pekee aliyebaki hapa nchini; unajua historia yake alipokuwa mjumbe wa board ya NSSF na ufisadi uliotendeka under his watch? Leo hii kuna miradi mibovu shirika iliyowekeza ambayo si tu haijakamilika baada ya kutumia fedha nyingi za serikali, bali hiyo miradi chefu chefu ndio inayofanya baba zenu waishi kwa taabu uzeeni kwani shirika limefirisika kiasi kwamba wafanyakazi walioweka fedha zao pale hawapati haki zao!! Sasa huyu Mussa Assad na rafiki yake Ramadhani Dau ndio waliolifilisi shirika kwa ufisadi wao; DAU akiwa mtendaji mkuu na ASSAD akiwa mwenyekiti wa AUDITand INVESTMENT committee; wanapata wapi uhalali wa kujiita wazalendo wa kweli? Leo hii watu wamesahau ufisadi mkubwa uliotendeka na badala yake wanamsifia kuwa ni shujaa!!
Sasa unamaanisha mkuu wa nchi hio historia alikua hana????? Au kwakua kashika kunako ndo unaleta history mkuu!!! What a pity dah...unatia aibu sana mkuu.
Halafu mim sio kijana wa chuo
 
Sasa unamaanisha mkuu wa nchi hio historia alikua hana????? Au kwakua kashika kunako ndo unaleta history mkuu!!! What a pity dah...unatia aibu sana mkuu.
Halafu mim sio kijana wa chuo

Magufuli amemkuta ASSAD as CAG kwani aliteuliwa na Vasco Dagama; lakini Magufuli historia ya Assad na DAU na damage waliyoifanya NSSF anaifahamu nadhani anawalia timing kabla hajafukua makaburi yao!!!
 
Back
Top Bottom