Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,870
- 155,831
Jamaa kisha oa leo
Sasa si utani ....Mkuu Wala usisumbuke kumjibu huyo jamaa,ni wa kawaida Sana siku moja alipanda daladala akaingia jf , anatumia avatar mbili kipindi anataka kulog out ili aingie avatar yake ya kujimwambafai nikampiga chapuo.siku hiyo nikamjua alivyo na akibisha nitaelezea physical feature yake..coz nilipitiliza kituo hadi akashuka ili nimwone vizuri coz anambwambafai huku Sana.
Umenifurahisha sanaMkuu Wala usisumbuke kumjibu huyo jamaa,ni wa kawaida Sana siku moja alipanda daladala akaingia jf , anatumia avatar mbili kipindi anataka kulog out ili aingie avatar yake ya kujimwambafai nikampiga chapuo.siku hiyo nikamjua alivyo na akibisha nitaelezea physical feature yake..coz nilipitiliza kituo hadi akashuka ili nimwone vizuri coz anambwambafai huku Sana.
Kiduku Lilo alipotea jukwaan kuanzia mwezi wa 4 mwaka jana. Hadi january hii ndo karudi jukwaani Alitafutwa mpaka watu wanamuanzishia uzi.hiyo tu itoshe kusema ni kiasi gani watu wanammissi😂 hiyo miezi yote itoshe kusema tajiri alikuwa anatafuta pesa sasa yupo likizo. Mwache boss wetu hujui nyuzi zake zinatupa hamasa kuchukia umaskini?🤣🤣 mlishaona wapi tajiri anakuja kufungua uzi humu hovyo hivii.. mkuu we ni mla kiporo mwenzetu kilamba mwiko mkubwa we.
Ha ha! Okay fanya kutafuta ndoano nawe ukavue! Ye anaandika utumiaji tu na si utafutaji! Sema umetamani tu ila hujui njia anayotumia ukitatua hapo utaacha kutamani bali utaishi hayo maandishi.Kiduku Lilo alipotea jukwaan kuanzia mwezi wa 4 mwaka jana. Hadi january hii ndo karudi jukwaani Alitafutwa mpaka watu wanamuanzishia uzi.hiyo tu itoshe kusema ni kiasi gani watu wanammissi😂 hiyo miezi yote itoshe kusema tajiri alikuwa anatafuta pesa sasa yupo likizo. Mwache boss wetu hujui nyuzi zake zinatupa hamasa kuchukia umaskini?
Imegini mm nilikuwa mjini kwetu huku jeen rangi nyekundu ikapita nilijikuta nasema hii ni kama ya Kiduku Lilo mpaka hapo hujaona anavyo inspire?
Siwezi ingia mitego ya mtoto mdogo kama Kiduku Lilo Basi tu nyuzi zake zina tufundisha vitu vingi sana ambayo ndo maisha tunatamani tuishi. Staki kujua anatunga wala nini.mm naangalia alichoandika. Humu kuna watu wazee wenzangu nawatamani la sio kiduku. Alojiunga 2018.Ha ha! Okay fanya kutafuta ndoano nawe ukavue! Ye anaandika utumiaji tu na si utafutaji! Sema umetamani tu ila hujui njia anayotumia ukitatua hapo utaacha kutamani bali utaishi hayo maandishi.
Kweli umezeeka maana umeshindwa hata kuelewa komenti yangu..😂 poleSiwezi ingia mitego ya mtoto mdogo kama Kiduku Lilo Basi tu nyuzi zake zina tufundisha vitu vingi sana ambayo ndo maisha tunatamani tuishi. Staki kujua anatunga wala nini.mm naangalia alichoandika. Humu kuna watu wazee wenzangu nawatamani la sio kiduku. Alojiunga 2018.
Bwt humu kuna watu tunawajua hadi kwao real life.hao ndo wakutamani sio walojificha nyuma ya key board.
Sikuwahi panda hizi gari aisee....zinasifiwa sana lakini za kawaida. Nyepesi sana. Pia hazitulii barabarani maana sometimes vishimo vidogo sana unasikia ndani. Sijui. Ila nadhani waboreshe hizi gari kwa kweli hazina comfortability kabisa.
Jaribu tu kuheshimu watu usiowafahamu. I have my life and you have yours. Why dont you stick on yours? Hufahamu umri wangu why you disrespect me? Wanawake wengi wa humu you like to be mistreated. Hampendi kujiheshimu.sisi wengine hatukuelelwa kutukanana na watu. Thats why we mind our own business. Sijawahi mkosea heshima anybody humu JF. Coz i have my own life. Msitake kuzoeana na watu kwa style hiyo ya kukoseana heshima.Siwezi ingia mitego ya mtoto mdogo kama Kiduku Lilo Basi tu nyuzi zake zina tufundisha vitu vingi sana ambayo ndo maisha tunatamani tuishi. Staki kujua anatunga wala nini.mm naangalia alichoandika. Humu kuna watu wazee wenzangu nawatamani la sio kiduku. Alojiunga 2018.
Bwt humu kuna watu tunawajua hadi kwao real life.hao ndo wakutamani sio walojificha nyuma ya key board.