samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,265
Sawa, ila sitoacha jambo lipite.
Wewe unadhani mimi huko sitongozwi na tuvijana vi-handsome? Na mimi nitakuletea uzoefu.
Shida nini sasa mama si uvikubalie ubadili radha
Sawa, ila sitoacha jambo lipite.
Wewe unadhani mimi huko sitongozwi na tuvijana vi-handsome? Na mimi nitakuletea uzoefu.
Kwani umesikia na date wangapi?Usishindane na mwanaume....utashindana na wamaume wangapi??
Majibu yako tu dada yangu inaonekana umepitia mengi sana...fahamu mwanaume hazeeki siku zote....Kwani umesikia na date wangapi?
Kwenda huko na utabiri uchwara wako.Majibu yako tu dada yangu inaonekana umepitia mengi sana...fahamu mwanaume hazeeki siku zote....
Ungenijuwa usingesema hivyo na nitakupa heshima yako kama mwanamke pia vile vile nipo humu ndani zaidi ya miaka 14 so huwa sijibu watu vibaya naheshimu kila mtu analosema...ila kama mwanamke inabidi kuangalia vitu na vitu....Kwenda huko na utabiri uchwara wako.
Sawa Papizo , nitalifanyia kazi mkuu.Ungenijuwa usingesema hivyo na nitakupa heshima yako kama mwanamke pia vile vile nipo humu ndani zaidi ya miaka 14 so huwa sijibu watu vibaya naheshimu kila mtu analosema...ila kama mwanamke inabidi kuangalia vitu na vitu....
Kwamba hata mzee Mwinyi hajazeeka!Majibu yako tu dada yangu inaonekana umepitia mengi sana...fahamu mwanaume hazeeki siku zote....
Asante sana tena sanaa ndugu yangu...Ni kweli kabisaa wala hujakosea....Kwamba hata mzee Mwinyi hajazeeka!
Hatuwezi na ni asili yetu tuBasi muyavumilie pia maumivu kama mnajua inauma kusalitiwa
thanks dearumeeleweka mkuu
thats it sir, why fight over a man or woman, there are plenty of them, just divorce and get another one,, my bible allows divorce on the grounds of committing adulterlyBora tuachaneee~ Lava lava
Hujaoa - nyamaza tu. Umeoa na mkeo hajawahi kucheat-nyamaza. Umeoa na ulishamfuma mkeo kacheat, karibu tuwape vijana uzoefu!thats it sir, why fight over a man or woman, there are plenty of them, just divorce and get another one,, my bible allows divorce on the grounds of committing adulterly
Duh hii ni balaa mambo ya kuuana tenaBaada ya kupitia huu uzi wote nieme tu kumbe bado kuna wanawake wanaojitambua na kutetea utu wao. Miss Pablo na kundi lako Kongole popote mlipo..
Mwanaume anapoamua kucheat na ukaamua kumlegezea maana yake umempatia funguo za kucheza na moyo wako na husia zako. Hutakaa uwe na amani kamwe ila utakuwa na amani feki kwamba basi ufanyeje kwa kuwa wanaume wote ndio walivyo ila Moyoni unateseka.
I tell you wapo wanaume waaminifu wanaojua kujiheshimu na kuheshimu mahusiano yao.
Binafsi you cheat one time ...nakusamehe
Second time nakusamehe mara ya tatu nasaga lapa. Sinaga mapenzi fekii mimi eti naumia halafu nakuchekea .
Nikiamua kuishi na mchepukaji basi ujue ipo siku tu nitamuwekea hata sumu maana huwaga maumivu ya kusalitiwa simalizagi
Duh hii ni balaa mambo ya kuuana tena
Kisa umeamua kunoa mashine njeGhafla umedead! Mwendazake 😂😂😂
Upalizwe mbinguni. Upewe siti ya pembeni kwa Bikira MariaMpaka mume anatoka nje ana akili zake timamu.kwa sasa usimuulize chochote.ingawa inauma.kama anakujali kwa kila kitu nyamaza akichoka kwa mchepuko atarudi mwenyewe