Nimemuona Mtatiro kama kijana aliye potea..

Ujinga gani kauvaa kukubali ukuu wa wilaya kuongoza wananchi? Hivi unamdanganya nani hapa kupitia simu yako. Ungakataa cheo wewe au kazi ya hivyo? Unadhani mbowe anatafuta madaraka ili akupe wewe maendeleo au afanikishe yake. Utakuwa pumbavu sana kama ndo unakaa hapa unaamini hayo.
Hasa watu wa rika lake... Tukimuona tukimtizama tunaona labda kama alirogwa hivii...!!?

Kwani ni nini hasa kilimkuta!!!??? Hata aamue kuuvaa Ujinga!?
 
Ni kazi sana kuwa na masikini hapo hapo ukawa na msimamo..
Hivi vitu haviendi pamoja..
Trust me hata wewe ukipewa ukuu wa wilaya kesho utapost kitu tofauti unless uwe na pesa zako nyingi sana zakutosha
 
Mtatiro ameteseka sana cuf hasa baada ya Lipumba kuanza kuwavuruga.
Mwacheni jamsni angalau atafune amalizie ujana na hspo ndio mwisho wake kisiasa Dibwa/Jiwe akiondoka
Hasa watu wa rika lake... Tukimuona tukimtizama tunaona labda kama alirogwa hivii...!!?

Kwani ni nini hasa kilimkuta!!!??? Hata aamue kuuvaa Ujinga!?
 
Chadema achen ujinga, mwenzenu anaingiza hela ,na kupata cheo ,mnasema hana akili, mlitaka aendelee kukaa Facebook na Instagram anaitukana serikali ,halafu watoto wake washinde njaa?

Si ndio nyie mlikuwa mnamuita Mbunge wa Facebook na insta?

Kuna siku nilikuta Facebook ,mtatiro analalamika kifurushi cha dstv kimeisha , watoto ada inahitahika, kipind hicho anaikosoa sana serikali, hakuna aliyemsaidia ,

Sasa hiv kaamua kuunga Juhudi , amekula uteuzi , njaa kwaheri

CHADEMA mnaanza kusema Hana akili na bla bla nyingi,

Nawashangaa kina yericko ,Hilda newton, malisa badala waunge Juhudi wajenge maisha ,wanakaa Facebook na insta wakiitukana serikali Wakiamin siku moja Mbowe atakuwa Raisi , hahaaaaaaaa
 
Ujinga gani kauvaa kukubali ukuu wa wilaya kuongoza wananchi? Hivi unamdanganya nani hapa kupitia simu yako. Ungakataa cheo wewe au kazi ya hivyo? Unadhani mbowe anatafuta madaraka ili akupe wewe maendeleo au afanikishe yake. Utakuwa pumbavu sana kama ndo unakaa hapa unaamini hayo.
Acha ukweli basi
 
Hasa watu wa rika lake... Tukimuona tukimtizama tunaona labda kama alirogwa hivii...!!?

Kwani ni nini hasa kilimkuta!!!??? Hata aamue kuuvaa Ujinga!?
Mjinga ni wewe usiekubali kutofautiana
Mtatiro,amefanya kila juhudi kusimamisha upinzani,lakini kwa kua upinzanii Tanzania unategemea sanaghilba na usanii,mtatiro kaona bora ajiunge na chama tawala
Wewe baki na ujinga wako,Mbowe kapitiliza muda wa uongozi zaidi ya mwaka,unamshupalia DC Mtatiro
 
Imagine Mtatiro ndio angekua anaongoza harakati za kupata Uhuru.....

Ukiangalia movie ya Serafina kuna dawa ya msaliti Waliicheza vizuri
 
Amegundua viongozi wa upinzani unapigania ruzuku
badala ya umoja.

Mimi na wewe tunahitaji hayo called MABADILIKO.

Kwanini asilinde tumbo lake.
 
Ujinga gani kauvaa kukubali ukuu wa wilaya kuongoza wananchi? Hivi unamdanganya nani hapa kupitia simu yako. Ungakataa cheo wewe au kazi ya hivyo? Unadhani mbowe anatafuta madaraka ili akupe wewe maendeleo au afanikishe yake. Utakuwa pumbavu sana kama ndo unakaa hapa unaamini hayo.
Povu kama loteee
 
Duh umepiga mulemule Mkuu...kwa kuongeza kwani Mbowe anavyong'ang'ania madaraka ni kwa faida ya nani.

Lema Mwenyewe aliwahi sema kuwa hakugombea ubunge ili awe maskini...
 
Nipo na mtoa mada!yaan ukikumbuka yale mabandiko yake kuanzia gazeti la mwananchi &the like unabaki kusema Mungu huyu kamfanya nn huyo!??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom