WILSON MWIJAGE
JF-Expert Member
- May 30, 2011
- 276
- 76
Ndugu,
Ukitaka kumuua nyoka kwa urahisi mti upake mafuta. Japo Shida yangu si tu chumvi iliyoko jikoni bali pia kuna hata sukari. Walamba chumvi/sukari wakiwekwa karibu na jiko sio kwamba yatabaki makopo tu ila wageni watakosa chai. Kwenye kampeini yalisemwa tukasema ...Mh anatafuta kura, Mh Kafulila alisema tukasema anataka uwenyekiti! Mafuta bado yapo tupake miti mingine????