Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Ni kweli tukitaka kwenda kwenye uchumi wa viwanda umeme ni muhimu.
1. Stiegler's gorge uliozoeleka kusikika wa MW 2,100 huu unategemea kukamilika mwaka 2021.
2. Kikonge. Huu wanataka kuujenga mto ruhuhu na unakadiriwa kukamilika 2025. utazalisha MW 300.
3. Songwe. Huu tutashare na Malawi. utakuwa wa MW 180 unategemea kukamilika mwaka 2022.
kwahiyo by 2025 tutegemee kuwa na karibu MW 2500 moya za umeme. Ni hatua kubwa.
Nashauri tusisahau umeme wa makaa ya mawe na ikiwezekana miradi midogomidogo ya umeme wa maji waruhusu sekta binafsi ziwekeze au waingie PPP. Bila shaka baada ya 2025 tutaanza kupikia umeme.