Nimemuambia wife awe anasuka style hii ya nywele ili ku-save cost, kaishia kunisunya na kunibinulia midomo

Watu tunatofautiana sana, mie manywele yangu wala siyaelewi mwaka mzima naweza kupitisha bila kusuka...naosha, paka mafuta nabana chicha safari...
 
A woman's best insurance is some money of her own.

Hapo mnakuwa hamsumbuani over small things.

I hope hautajali akitumia hela yake kusuka.

She's a woman, she doesnt have to look unkempt just because the husband is broke.
 
Kuna vistyle vizur tu vya natural nywele lakin hawa ngulumbili hawaelew,kuelewa kwao mpaka waweke makatan pambafu zao

Mwanamke mwenye kichwa kisicho kuwa na kisogo au mafiga hana haja ya kusuka mamisuko ya gharama
 
25,000 -30,000 watu hawajui tu kunyoa ni gharama kuliko kusuka hapo bado hujaenda kwa kina didy expert kunyoa 60,000- 100,000 hapo hujanunua mafuta ya nywele na spray
Bado shampoo nzuri ya kuziosha kila siku..

Siku nyingine ukitaka mbwembwe bado rangi, au syle mbali mbali kama kwa pasco makeover ..Ni gharama kweli kuwa na short hair
 
Bado shampoo nzuri ya kuziosha kila siku..

Siku nyingine ukitaka mbwembwe bado rangi, au syle mbali mbali kama kwa pasco makeover ..Ni gharama kweli kuwa na short hair
Gharama hizo zimeanza lini jamani? Mbona

Kifungilo Seminary mlinyoa kwa topaz za 200 term nzima gharama haikuzidi buku!
 
Kwema ndugu zangu watanganyika? Kutokana na mimi kupitia changamoto za kifedha kwa sasa, nilimuomba Wife tupunguze gharama za uendeshaji wa maisha yetu kwa kujibana sana, pendekezo langu la kwanza nilipendekeza Wife anyoe nywele zake alizosuka, akajitetea kwamba nywele zake katumia karibia miaka 10 kuzifikisha hapo zilipofikia hivyo hatoweza kuzinyoa na akaongezea kuwa akinyoa yeye huwa ana kichwa kibaya hivyo hatokua comfortable.

Basi mimi nikajaribu kupitia kwenye baadhi ya pages za wadada wenye saloon huko Instagram nikaja na pendekezo moja kuwa Wife awe anasuka style fulani hivi ya nywele ambayo ni affordable kwani ni elfu 5 tu ila mwenzangu nilipomshirikisha hivyo akaishia kunisunya na kunibinulia midomo kuwa hayuko tayari.

Mpaka sasa kaninunia ila mimi msimamo wangu uko pale pale sitotoa zaidi ya elfu 5 ya kusukia.

Asanteni

View attachment 2044854
Kosti gani mkuu acha uwongo ,unataka ukiwa anakuoshea vyombo au kupiga deki uwe unazishika kwa ukamilifu fupifupi Mana hizo hafungi lile lemba ,zabuku hizo nimekuelewa
 
Bado shampoo nzuri ya kuziosha kila siku..

Siku nyingine ukitaka mbwembwe bado rangi, au syle mbali mbali kama kwa pasco makeover ..Ni gharama kweli kuwa na short hair

Wanahisi kunyoa ni kazi rahisi labda unyoe kama msabato ila vinginevyo ni majanga gel nzuri ya nywele kale kakopo kadogo mtu unatumia wiki kameisha labda kama hauna mishemishe za kutoka kila siku
 
Back
Top Bottom