Nimemtumia message hii mpenzi wangu sasa hivi, nisaidieni mawazo

Baby are u okay, i can't reach u thru phonecall since y'day nyt, this is not normal ,am so much worried about u my baby if ur ok or u got problem, letme knw ASAP. UPDATES; 15:20 amenipigia kwa namba nyingine amesema line yake ili block ndo anajaribua kuwasiliana na ntwk operator wai unlock.. Ua langu lol karoho keupe sasa nifanyekazi kwa ari mpya.

Usiwaamini sana hao watu
 
naona unajipa moyo kijana na umeridhika na majibu yake safi sana wacha jamaa waendelee kuchapa na wakimaliza operator atakuwa ameshalinyia kazi tatizo so atapatikana hewani ucjali
 
ladies! Ladies! Keeps alot in their hearts, ukiyaona yaliyofichika moyoni uta collapse, if she tells u that she loves u don't need to be so suspicious, just relax and enjoy what u share
 
naomba unishauri nifanyeje

Kwa uhakika kwamba huyu g/friend wako anakuongopea tu,haiwezekani tangia usiku mpaka saa tisa na nusu mchana ndio anakuja kukwambia namba ilikuwa blocked,tangia asubuhi mpaka saa tisa alikosa simu? ukiona manyoya ujue kaliwa na ukiona cheche basi kunaweza kutokea moto mda wowote na panapofuka moshi basi ujue kuna moto,stukaaaaaa!!
 
Baby are u okay, i can't reach u thru phonecall since y'day nyt, this is not normal ,am so much worried about u my baby if ur ok or u got problem, letme knw ASAP. UPDATES; 15:20 amenipigia kwa namba nyingine amesema line yake ili block ndo anajaribua kuwasiliana na ntwk operator wai unlock.. Ua langu lol karoho keupe sasa nifanyekazi kwa ari mpya.

nipe kwanza no alyokupgia nayo, kisha ntakupa mchango wangu
 
ladies! Ladies! Keeps alot in their hearts, ukiyaona yaliyofichika moyoni uta collapse, if she tells u that she loves u don't need to be so suspicious, just relax and enjoy what u share

Ladies KEEP alot, sio keeps.
 
Baby are u okay, i can't reach u thru phonecall since y'day nyt, this is not normal ,am so much worried about u my baby if ur ok or u got problem, letme knw ASAP. UPDATES; 15:20 amenipigia kwa namba nyingine amesema line yake ili block ndo anajaribua kuwasiliana na ntwk operator wai unlock.. Ua langu lol karoho keupe sasa nifanyekazi kwa ari mpya.
Poti hapo kwenye red..take care..unapigiwa..!!
 
Back
Top Bottom