Nimemtumia message hii mpenzi wangu sasa hivi, nisaidieni mawazo

Kijana unaibiwa.. Hamia airtel haraka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Usaidiwe nini nenda kasikilize wimbo wa mwanayumba wa Chege labda utakuliwaza
 
Kuna mawili,mosi ni kwamba kuna jambo ambalo limempata ambalo hana means yoyote ya kuwasiliana nawe,na pili ujue kuna wajanja tayari wamekuzidi ujanja na wamechukua simu na kumpa line nyingine na kumkataza kabisa kuwasiliana na wewe maana kama yupo na hana tatizo basi angewasiliana nawe hata kwa simu ya kuazima.

Vunja ukimya na watafute rafiki zake na usiogope kusema ukweli eti watakuhisi vibaya.
 
Back
Top Bottom