Nimemtongoza mchumba angu kwa id na namba tofauti kanikubali

Ndugu yangu ktk mahusiano ya leo uaminifu ni kitu kigumu sana na pia imeonyesha huyo mpenzi wako sio mwaminifu ingawa nisingekushauri muachane kwa sababu hiyo kwani ukiangalia upande wa pili pia kwako hiyo haikuwa njia stahili ya kutaka kujua kama mpenzi wako ni mwaminifu au kama sio mwaminifu. Ingawa angalao njia hiyo imekupa clue kujua mpenzi wako ni mtu wa aina gani. Pia, naye hakustahili kukimbilia kwao, nadhani alitaharuki sana.Tafuteni suluhu ya kuwa pamoja tena.
 
Embu jichukulie, ungekuwa wewe ndo yeye? Binti mwenye sauti nyororo akwambie anakupenda mkutane huko mlikokutana! Alafu kushtuka ni mkeo!?! Ungefanyaje! Acha mbwembwe, ulianza naye na ukamzalisha, ukamjaribu, akashindwa kushinda jaribu. Sasa unamwona mhuni. Daah. Wanaume tuna mambo!
 
....kaombe ushauri kwa baba na mama yako waliokuleta hapa duniani....

Ths is the st...pdiest post.
 
lakin haya mambo ya kujaribishana na NO. tofauti sijui nayo siyo kbs...... kinda childish yan.....!
nways polee kwa yoote mwaya!
 
mimi umenikwaza sana,ulipomtongoza ulitaka nini? au kwakua nai mwanamke ndiyo sababu? usimnyanyapae bwana, kwanza kabisa yy hakuwa na mawazo ya kwenda huko ila wewe ndo ulimtamanisha, istoshe inaelekea huwaga humtoi outing so aliposikia swala la blue pearl alikuja ili nayeyey ajionee raha za kula bata kwenye ghorofa.

sasa mwombe samahani, kisha mpeleke outing sehem za ukweli ili siku akiambiwa basi asishoboke. Ningekuwa ni mmm huyo binti ningekuangushia timbwili la kufa mtu manake ukimwaga mboga miye namwaga ugali. chonga wa kwako ambaye hata toka na mtu milele.
 
nina mchumba angu na ana mtoto wangu mmoja wa kike aliifungua miaka mitatu iliyopita a nimemtolea posa na kumvisha pete kabisa sasa me nilisafiri mwanza kikaz ba yy kabak dar, juz niliamua kumjaribu kumtongoza kwa id na namba ambazo hazijui na amenikubalia, nikamwambia mi nipo moro ila nikifika dar tutafutane ntakuwa pale blue pearl, kwel weekend imefika kanitafuta nikamwambia nimefika aje pale blue pearl aulize reception watamleta chumban kwng, kwel kaja na akanipigia simu ndo nikamkamata kwa kujtambulisha kama me ni mumewe, et akazima sim na kukimbia kwao, me sijamuambia kitu zaidi ya yeye kuniambia eti simuamin mpaka natumia namba nyingine kumtega kama vipi tuachane nimlee tu mtoto...nikamwambia sawa vyovyote aamuavyo, naomba ushaur wana jf, nichukue maamuzi gan?
Tafuta binti mzuri aliye okoka na wewe pia okoka upate mwanamke mwaminifu kwako na kwa Mungu pia!! Maana kama anamwogopa Mungu hawezi kufanya mambo ya kijinga!!!!

Na wewe akili yako inawaza uzinzi tu ..ni nini mambo ya kujaribiana kwa namna hiyo..mie simo na pole sana..
 
Mwone mzee mwanakijiji akufunze kuandika hadithi zenye uhalisia kidogo...
 
nina mchumba angu na ana mtoto wangu mmoja wa kike aliifungua miaka mitatu iliyopita a nimemtolea posa na kumvisha pete kabisa sasa me nilisafiri mwanza kikaz ba yy kabak dar, juz niliamua kumjaribu kumtongoza kwa id na namba ambazo hazijui na amenikubalia, nikamwambia mi nipo moro ila nikifika dar tutafutane ntakuwa pale blue pearl, kwel weekend imefika kanitafuta nikamwambia nimefika aje pale blue pearl aulize reception watamleta chumban kwng, kwel kaja na akanipigia simu ndo nikamkamata kwa kujtambulisha kama me ni mumewe, et akazima sim na kukimbia kwao, me sijamuambia kitu zaidi ya yeye kuniambia eti simuamin mpaka natumia namba nyingine kumtega kama vipi tuachane nimlee tu mtoto...nikamwambia sawa vyovyote aamuavyo, naomba ushaur wana jf, nichukue maamuzi gan?

let it go mwite mkae chini msuluhishe halafu funga ndoa na hakika hatarudia jiulize we mwaminifu?kama ndio msamehe kaeni pamoja muijenge familia bora
 
hey...tumia akili co lazma uwe mkali...topic iliopo jamaa anomba ushauri sasa mumewe au co mumewe inatoka wapi km huna kitu cha kumshauri kaa kimya
 
Umesema we ni mumewe? Kwahiyo kulipa mahari na kumvalisha pete ndo kuoa alhali mdada anaishi kwao? Your not Serious men

Angel,kimsingi tukishalipa mahari huwa tunakuwa tumeoa!hizi zingine ni taratibu tu hususan za imani(dini) zetu!ndo maana huwa tunakabidhiwa kabisa washenga wakishamalizana kila kitu kabla ya msosi pale!................jamani hata Yusufu(wa biblia)aliambiwa amchukue 'mkewe'...baada ya kuwa amemposa!so...mshikaji hakukosea kabisa!tulieni bana....aaaagh!
 
Back
Top Bottom