Nimemtongoza mchumba angu kwa id na namba tofauti kanikubali

thanx sana kwa ushauri, me nipo mbali, na yeye niliamua kumuendeleza kielimu udsm mwaka wa pili na mimi ndo board ya mkopo kwake, siwez muondoa shule aje huku kwan hata mtoto wetu anasoma daycare so, nimeambiwa mengi juu yake ikabidi nifanye utafiti kujidhihirishia, nimeumia sana, mbaya zaidi baada ya kunikubalia akanipiga mzinga wa elfu hamsin nikampa, akajua kapaa buzi kumbe mumewe...sijajua nimuhukumu vipi
 
Umeshawai kutembea nje,? Kama ndio usimwache...

Hajaoa akitaka lazima iwe nje maana ndani hana mtu

du hii kali yahani ni malaya ndo maana yake
Kwa nini kumuita mtu malaya? Kuna uhakika kukubali mwaliko wa kumtembelea mtu hotelini ni kwenda kuzini? Watu wanatafuta marafiki (network) kwa sababu tofauti na uzinifu. Afterall mtoa mada kasema amemkubali hajafafanua amemkubalia ofa ya kwenda kula PEARL and kuganda chumbani.

Wewe hugongi nje?

Bado hajawa na wa ndani, ana mwenye pete ya uchumba tuu
 
Siku hizi mkubwa, si wanaume..... si wanawake..... wote wa kichina!!! Ushauri: Siku nyingine, usimchunguze bata!!!.... If it ain't broke.... don't fix it!!!.... If you don't know..... it doesn't hurt....
 
Safi sana mkuu, hiyo mbinu nimeipenda ingawa wengi huitumia kama wamemchoka
mwanamke hivyo huanza kutafuta sababu kwa mtindo huo. Lakini mimi huwa sipendi
uchumba wa Dizaini hiyo yaani mpaka munapata wajukuu ndo mnafunga ndoa?
 
nina mchumba angu na ana mtoto wangu mmoja wa kike aliifungua miaka mitatu iliyopita a nimemtolea posa na kumvisha pete kabisa sasa me nilisafiri mwanza kikaz ba yy kabak dar, juz niliamua kumjaribu kumtongoza kwa id na namba ambazo hazijui na amenikubalia, nikamwambia mi nipo moro ila nikifika dar tutafutane ntakuwa pale blue pearl, kwel weekend imefika kanitafuta nikamwambia nimefika aje pale blue pearl aulize reception watamleta chumban kwng, kwel kaja na akanipigia simu ndo nikamkamata kwa kujtambulisha kama me ni mumewe, et akazima sim na kukimbia kwao, me sijamuambia kitu zaidi ya yeye kuniambia eti simuamin mpaka natumia namba nyingine kumtega kama vipi tuachane nimlee tu mtoto...nikamwambia sawa vyovyote aamuavyo, naomba ushaur wana jf, nichukue maamuzi gan?

Sasa mkuu mimi sija kuelewa. inakua vipi ukapanga mtego wote huo then mwishowe ukamwacha akimbie. Ebu cheki hapo kwenye red. Alipo fika hotelini she called you ndio ukamwambia kwamba wewe ndio mumewe then akakimbia which means hamkuonana. Sasa mambo ya kutoaminiana alikwambia saa ngapi yet mkeo alizima simu na kukimbia kwao? unless ulimfuata kwao.
 
Aisee pole sana, umeshamjua na uamuzi ni wako!

Kumbuka lkn ukimuacha haigurantee kupata mwanifu 100%. Jaribu kuongea naye taratibu, mueleze kwanini ulifanya uliyoyafanya. Pia muulize alikuwa ana mpango gani na huyo stranger? Labda alitaka aone mchezo utahapoishia, umesema ni mwanafunzi kuchuna mabuzi na uanafunzi vinaenda pamoja!

By the way, kwanini hamjaoana kwa muda wote huo?
 
Man yan hapo huna mtu..kitendo cha kutoitambua sauti yako ni kosa la kwanza hata kama umebadili sauti vipi.

pili sitegemi dem anatongozwa na mtu anaingia kingi mpka atua ya kufanya mapenzi bila ya kuonana na mhusika..hiyo ina maana hana chembe ya utulivu.

tatu kama ameamua kuondoka mwenyewe ana mambo yake mengi tu.
kimsingi piga chini
 
thanx sana kwa ushauri, me nipo mbali, na yeye niliamua kumuendeleza kielimu udsm mwaka wa pili na mimi ndo board ya mkopo kwake, siwez muondoa shule aje huku kwan hata mtoto wetu anasoma daycare so, nimeambiwa mengi juu yake ikabidi nifanye utafiti kujidhihirishia, nimeumia sana, mbaya zaidi baada ya kunikubalia akanipiga mzinga wa elfu hamsin nikampa, akajua kapaa buzi kumbe mumewe...sijajua nimuhukumu vipi

Hapo pekundu naomba uniruhusu nicheke kwa nguvu,pamenichekesha sana.

Hapo pa zambarau,ukiamua kumuacha ni sawa na ndivyo wengi wangefanya sababu huyo kwa kweli im sorry to say kaka yangu ni kimeo,sio wife kabisa.
Ila pia ukiamua kumsamehe ni wewe tu maana kama moyo wako bado unampenda na unatoa nafasi ya kumsamehe why not,ila kinga ni muhimu kutumika ktk huu uhusiano,nayaona maradhi nje nje hapo.

Kumuacha au kumsamehe muamuzi ni wewe,sikiliza moyo wako unaamrisha nini.

Pole sana.
 
mh,kazi ipo. hv inakuwaje mtu unakwenda kumeet na stranger tena una engagement. kiukweli mtoa mada unatakiwa kuwa makini sana na hyo mkeo mtarajiwa.
 
Hivi, nakuuliza MSATULAMBALI,

Wewe ulimpataje na ukaweza kuzaa nae hamjafunga ndoa? wengine watashindwaje kumpata?

Kama ulivyoweza wewe na wenzako wanaweza vilevile. Mwanamke yeyote anaeweza kujisasambuwa kwako kabla hujamuoa basi anaweza kujisasambuwa kwa mwengine yeyote yule.
 
Haya mambo sio mazuri ila yana utam wake!Ni kama sukari au asali,ukiilamba mwishoni kuna ka uchungu flan hivi!
 
mbona umepoteza ushahidi sasa... ungeji-camouflage ummege halafu ndiyo umpige chini kwa solid evidence
 
Mkuu huyo ni kimeo kuwa makini hadi anafikia uamuzi wa kwenda hotelini kukutana na stranger ina maana amekutana nao wengi mpaka wengine hawakumbuki kwa sauti. Hiyo ni proof beyond reasonable doubt. Usimuache bali kampime afya yake kama yuko safi funga naye ndoa haraka na jaribu kumsaidia mahitaji yake si unajua BOOM likikata hayo matatizo lazima yatokee.
 
nina mchumba angu na ana mtoto wangu mmoja wa kike aliifungua miaka mitatu iliyopita a nimemtolea posa na kumvisha pete kabisa sasa me nilisafiri mwanza kikaz ba yy kabak dar, juz niliamua kumjaribu kumtongoza kwa id na namba ambazo hazijui na amenikubalia, nikamwambia mi nipo moro ila nikifika dar tutafutane ntakuwa pale blue pearl, kwel weekend imefika kanitafuta nikamwambia nimefika aje pale blue pearl aulize reception watamleta chumban kwng, kwel kaja na akanipigia simu ndo nikamkamata kwa kujtambulisha kama me ni mumewe, et akazima sim na kukimbia kwao, me sijamuambia kitu zaidi ya yeye kuniambia eti simuamin mpaka natumia namba nyingine kumtega kama vipi tuachane nimlee tu mtoto...nikamwambia sawa vyovyote aamuavyo, naomba ushaur wana jf, nichukue maamuzi gan?

Hiyo bold imejumuisha kila kitu!
 
achana naye ama msamehe huyo hatorudia tena
 
Back
Top Bottom