Nimemtongoza mchumba angu kwa id na namba tofauti kanikubali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimemtongoza mchumba angu kwa id na namba tofauti kanikubali

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MSATULAMBALI, May 30, 2012.

 1. MSATULAMBALI

  MSATULAMBALI Senior Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 170
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  nina mchumba angu na ana mtoto wangu mmoja wa kike aliifungua miaka mitatu iliyopita a nimemtolea posa na kumvisha pete kabisa sasa me nilisafiri mwanza kikaz ba yy kabak dar, juz niliamua kumjaribu kumtongoza kwa id na namba ambazo hazijui na amenikubalia, nikamwambia mi nipo moro ila nikifika dar tutafutane ntakuwa pale blue pearl, kwel weekend imefika kanitafuta nikamwambia nimefika aje pale blue pearl aulize reception watamleta chumban kwng, kwel kaja na akanipigia simu ndo nikamkamata kwa kujtambulisha kama me ni mumewe, et akazima sim na kukimbia kwao, me sijamuambia kitu zaidi ya yeye kuniambia eti simuamin mpaka natumia namba nyingine kumtega kama vipi tuachane nimlee tu mtoto...nikamwambia sawa vyovyote aamuavyo, naomba ushaur wana jf, nichukue maamuzi gan?
   
 2. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  safi sana jembe langu...madem wa siku hzi michosho sana... we jua tu kuwa dem wako analika hata kama hujagundua nani anamla....
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Umesema we ni mumewe? Kwahiyo kulipa mahari na kumvalisha pete ndo kuoa alhali mdada anaishi kwao? Your not Serious men
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kuku wako mwenyewe, nani alikuambia umnyemelee na manati?
  Tafuta alien.
   
 5. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wewe hugongi nje?
   
 6. s

  sawabho JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Ukimcunguza kuku, hutamla. Chini ya jua utampata wapi msafi kiasi hicho ? Jichunguze kwanza, kama hujawahi fanya hilo tendo kwa Mdada tofauti na huyo mwache, lakini kama na wewe unanaenda nje, chukua huyo mke uanze maisha.
   
 7. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  mulika mwizi
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wewe na yeye wote lenu moja.
   
 9. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  hongera kwa kaz nzur ulyoifanya, ulchokuwa unaktafuta naona umekpata, big up!
   
 10. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  magonjwa mengi,tafuta mwingine mwaminifu...wapo sana tu...
   
 11. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,021
  Likes Received: 2,632
  Trophy Points: 280
  Achana naye tu huyo ila kama bado unampenda endeleeni ingawa kaa ukijuwa kuwa huyo mpenzi wako ni easy going.
   
 12. E

  Erick Charles Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sema Ukimwi tu kieleweke
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,620
  Trophy Points: 280
  Mbona kama haya ndio maamuzi ulochukua au wataka?
   
 14. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wewe kwa nini ulikuwa unamjaribu? kama ulishaamua kumuoa unamchunguza tena ili iweje? si ungemchunguza kabla? funga nae ndoa haraka na ukaishi nae unakoishi.halafu acha tabia ya kuchokonoa chokonoa au haujui "If you are looking for problems you will find them"
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Hii kama kesi mahakamani anatumia utetezi wa "entrapment". Anaweza kusema yeye hakuwa na idea ya kucheat, wewe ndiye uliyemletea hiyo idea, kwa hiyo makosa ni yako kwa kutaka kumkamata kwa kutumia uongo.
   
 16. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Mhhhh........unamkubalia mtu usiyemjua? kweli dunia inamengi.
   
 17. blea

  blea JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Pole sana bro.Next time usifanye tena majaribio kama hayo kwani utawakosa wengi jitahidi kuamini tu kuwa yuko safi vinginevyo chonga mgomba uweke ndani
   
 18. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Umeshawai kutembea nje,? Kama ndio usimwache...
   
 19. k

  kiweba New Member

  #19
  May 30, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du hii kali yahani ni malaya ndo maana yake
   
 20. P

  Paul S.S Verified User

  #20
  May 30, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Jf bana haiishi virojo........khaaaaaa
   
Loading...