Nimemtongoza demu wiki moja tu kaenda kuwatangazia ndugu zake kapata mchumba

Kimbia mbio nyingi sana bro, tena usigeuke nyuma hata ukipigiwa miruzi na kelele (Ukiskia hio miruzi na kelele we fikiria jamaa wanakushangilia uzidi kukimbia spidi zaid).

Wa hivi ndio wale ukiwaoa, unaoa pamoja na SHIDA ZOTE ZA UKOO MZIMA, SHIDA ZA MJOMBA, SHIDA ZA BIBI KIJIJINI , SHIDA ZA SHEMEJI ZAKO, SHIDA ZA "Si yule ndugu yetu aliekua anakuja kukusalimia kijijini, tulivyoenda kutembea kwa babu? Hivi umemsahau kweli diaa?"
Hataree
 
So happened to me few weeks ago. Nakuta keshawaambia watu wake kuwa mimi ni mchumba ake. Full kunitambulisha mpaka nikajuta kumfahamu. Nimeamua kumpiga chini. Nimemwambia ukweli, kanielewa. Naishi kwa amani sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom