Nimemtolea nje shugamami!

iron finger

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
358
220
Kuna jimama moja apa mtaani limekuwa likarimu sana kwangu hata akisafiri nyumba yake ananiachia mimi,zawadi kibao,na mkwanja ananiachia,jana ndo kafunguka eti ananipenda ikanibidi mtoto wa kiume nimpe live kama simuhitaji loooooh!alichoka.
 
Mchagua k simtmbj nielekeze mtaa wako sasa hivi natinga!!Unielekezetu kazi iliyobaki nimimi nitajua nifanye nini!!
 
sasa sisi tufanyaje??
huu ni udaku wa mtaa halafu dume zima ulikuwa unakubali kupokea zawadi dah....
mi huwa nachoka na watu wenye tabia kama zako.
 
Kwahiyo we siku zote ulivyokua unapokea vya kupewa ulidhani anakupa kama nani wako???
Au ulidhani anataka kuwa mama mlezi? Punguza kupokeapokea vitu bila kujua unapewa ili iweje...
 
Baadhi ya watoto wa kiume nao siku hizi wanapenda zawadi! Yaani hakuna mfano!
 
Mkuu hizo zawadi ulizokuwa unazipokea ujue ni deni. Hivyo dawa ya deni ni kulipa.
 
Kuna jimama moja apa mtaani limekuwa likarimu sana kwangu hata akisafiri nyumba yake ananiachia mimi,zawadi kibao,na mkwanja ananiachia,jana ndo kafunguka eti ananipenda ikanibidi mtoto wa kiume nimpe live kama simuhitaji loooooh!alichoka.

Mpiga nyeto unambo
 
Kama umemtolea kweli nje ebu mrejeshee alivyokupa,usituzuge huna lolote ulijua mapema sana kama lengo lake kwako nini na ukatuliza .....
 
Kuna jimama moja apa mtaani limekuwa likarimu sana kwangu hata akisafiri nyumba yake ananiachia mimi,zawadi kibao,na mkwanja ananiachia,jana ndo kafunguka eti ananipenda ikanibidi mtoto wa kiume nimpe live kama simuhitaji loooooh!alichoka.

So What
 
Back
Top Bottom