Nimemtolea mahari sasa ananipa shida, najuta!

Nashukulu sana kaka kwa ushauri wako mzuri.ubarikiwe sana
Acha kujiita Tony Love mdogo wangu.
Tony love ndo nn, wanawake hawavutiwi sana na wanaume wenye majina ya kike kike.
Jiite hata Mizizi ya Jiwe.
Au Cement Chakavu.
Lol.
 
We kajamaa kajinga, anaomba arudi kwao, hutaki wakati huo ndio muda wa kutafuna watoto wazuri wengine kwa Uhuru.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom