Nimemtazama Chama leo Manungu, ni kweli amebaki jina tu!

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Akiwa na Umri wa miaka 31. Clautous Chama anaonekana akiwa amechoka mapema. Ukilinganisha na wachezaji wenzake wenye umri sawa na yeye kama wakina Baraka Majogoro, Lucas Kikoti na Ramadhan Chombo.

Urejeo wake unaonekana wazi kwamba umeleta mzigo wa wachezaji wenye umri mkubwa na kuongezeka kwa mzigo wa mishahara kwa klabu.

Kama ulipata nafasi ya kumtazama vyema utakuwa umegundua vitu vifuatavyo ambavyo nimevi-notice kutoka kwake.

1. Ni mzito ku-track back pale mpira unapokuwa kwa upinzani. - tangu aingizwe uwanjani simba ilionekana kuwa vulnerable zaidi kwenye counter attacks.

2. Mipira/Pasi zake zimekuwa sio za uhakika kama ilivyo awali - Pasi nyingi alizokuwa akipiga zilikuwa zinakuwa-intercepted na viungo wa Mtibwa. Hili linaonyesha ameishiwa kabisa nguvu za kutosha miguuni kufikisha mipira kwenye target.

3. Anakabia snaa macho - Hii nadhani imesababishwa na hali ya kujiona yeye ndio superstar kuliko yeyote pale klabuni. Hii tabia ndio ilimpelekea hata Ibenge asimuweke kwenye hesabu zake.

4. Physique yake imeshuka kiasi kwamba mipira mingi alikuwa akipoteza. Hii inatokana na kudorora kwa nyama nyama za mwili wake tangu arejee kutoka Morroco.

5. Hana tena threat mbele ya lango la wapinzani kwakuwa kwenye chezo wa Manungu alikuwa na 0 shoots on target & 1 shoot on target. Na final passes zake nyingi zilikiwa diagonal.

Kwa jicho la kichambuzi hizi sababu ziko universal kwa wachezaji wengi wenye above 30 pale Simba.

Hivyo basi Chama hajaja kuokoa jahazi, bali amekuja kuongeza tatizo.
 
Ila demigod unatuaibisha sana mashabiki wa Yanga na kuonekana kama kocha yule alikuwa sahihi. Kama vile GENTAMYCINE anavyowaaibisha mashabiki wa Simba nakuonekana kama Rage alikuwa sahihi.

Umeandika minyuzi kibao yakujisifu ubingwa wakati ligi bado kabisa. Umekuja kuleta uzi kuhusu Chama wakati mazingira ya uwanja umeona na pia ndio game yake ya kwanza kwanzia arejee. Saa zingine tujifunze kuweka hisia za kishabiki na mahaba ya timu bali tuwe na akili za kiuwana michezo
 
Akiwa na Umri wa miaka 31. Clautous Chama anaonekana akiwa amechoka mapema. Ukilinganisha na wachezaji wenzake wenye umri sawa na yeye kama wakina Baraka Majogoro, Lucas Kikoti na Ramadhan Chombo.

Urejeo wake unaonekana wazi kwamba umeleta mzigo wa wachezaji wenye umri mkubwa na kuongezeka kwa mzigo wa mishahara kwa klabu.

Kama ulipata nafasi ya kumtazama vyema utakuwa umegundua vitu vifuatavyo ambavyo nimevi-notice kutoka kwake.

1. Ni mzito ku-track back pale mpira unapokuwa kwa upinzani. - tangu aingizwe uwanjani simba ilionekana kuwa vulnerable zaidi kwenye counter attacks.

2. Mipira/Pasi zake zimekuwa sio za uhakika kama ilivyo awali - Pasi nyingi alizokuwa akipiga zilikuwa zinakuwa-intercepted na viungo wa Mtibwa. Hili linaonyesha ameishiwa kabisa nguvu za kutosha miguuni kufikisha mipira kwenye target.

3. Anakabia snaa macho - Hii nadhani imesababishwa na hali ya kujiona yeye ndio superstar kuliko yeyote pale klabuni. Hii tabia ndio ilimpelekea hata Ibenge asimuweke kwenye hesabu zake.

4. Physique yake imeshuka kiasi kwamba mipira mingi alikuwa akipoteza. Hii inatokana na kudorora kwa nyama nyama za mwili wake tangu arejee kutoka Morroco.

5. Hana tena threat mbele ya lango la wapinzani kwakuwa kwenye chezo wa Manungu alikuwa na 0 shoots on target & 1 shoot on target. Na final passes zake nyingi zilikiwa diagonal.

Kwa jicho la kichambuzi hizi sababu ziko universal kwa wachezaji wengi wenye above 30 pale Simba.

Hivyo basi Chama hajaja kuokoa jahazi, bali amekuja kuongeza tatizo.
Ni uwanja mbaya tusimhukumu mapema, ila jambo muhimu ni kumkataza ulevi maana ni mlevi sana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ila demigod utawaibisha sana mashabiki wa Yanga na kuonekana kama kocha yule alikuwa sahihi. Kama vile GENTAMYCINE anavyowaaibisha mashabiki wa Simba nakuonekana kama Rage alikuwa sahihi.

Umeandika minyuzi kibao yakujisifu ubingwa wakati ligi bado kabisa. Umekuja kuleta uzi kuhusu Chama wakati mazingira ya uwanja umeona na pia ndio game yake ya kwanza kwanzia arejee. Saa zingine tujifunze kuweka hisia za kishabiki na mahaba ya timu bali tuwe na akili za kiuwana michezo
Umemaliza baba.
 
Akiwa na Umri wa miaka 31. Clautous Chama anaonekana akiwa amechoka mapema. Ukilinganisha na wachezaji wenzake wenye umri sawa na yeye kama wakina Baraka Majogoro, Lucas Kikoti na Ramadhan Chombo.

Urejeo wake unaonekana wazi kwamba umeleta mzigo wa wachezaji wenye umri mkubwa na kuongezeka kwa mzigo wa mishahara kwa klabu.

Kama ulipata nafasi ya kumtazama vyema utakuwa umegundua vitu vifuatavyo ambavyo nimevi-notice kutoka kwake.

1. Ni mzito ku-track back pale mpira unapokuwa kwa upinzani. - tangu aingizwe uwanjani simba ilionekana kuwa vulnerable zaidi kwenye counter attacks.

2. Mipira/Pasi zake zimekuwa sio za uhakika kama ilivyo awali - Pasi nyingi alizokuwa akipiga zilikuwa zinakuwa-intercepted na viungo wa Mtibwa. Hili linaonyesha ameishiwa kabisa nguvu za kutosha miguuni kufikisha mipira kwenye target.

3. Anakabia snaa macho - Hii nadhani imesababishwa na hali ya kujiona yeye ndio superstar kuliko yeyote pale klabuni. Hii tabia ndio ilimpelekea hata Ibenge asimuweke kwenye hesabu zake.

4. Physique yake imeshuka kiasi kwamba mipira mingi alikuwa akipoteza. Hii inatokana na kudorora kwa nyama nyama za mwili wake tangu arejee kutoka Morroco.

5. Hana tena threat mbele ya lango la wapinzani kwakuwa kwenye chezo wa Manungu alikuwa na 0 shoots on target & 1 shoot on target. Na final passes zake nyingi zilikiwa diagonal.

Kwa jicho la kichambuzi hizi sababu ziko universal kwa wachezaji wengi wenye above 30 pale Simba.

Hivyo basi Chama hajaja kuokoa jahazi, bali amekuja kuongeza tatizo.
Yaani anatangulia JPM afu huyu jamaa anabaki...mchambuzi uchwara ww
 
ila Kagera ana weza kua 40 kabsa yule
2087799183.jpg
 
Sawa kiongozi 👣
 
Uchambuzi uchwara... utopolo subirini kama mtaunusa ubingwa!!
 
Needless to say Chama is, arguably, a pale shadow of what he used to be and for the bigger part of the time he played he was nothing but a peripheral figure.

If he will make amends and return to his glory past is nobody's guess but judged by his current form, he lacks support.
 
Mkuu punguza lugha kali,tunatofautiana mtazamo

Chama hawezi kupimwa kwa uwanja ambao si rafiki kwa wachezaji.

Pili,hata kama uwanja ungekuwa mzuri bado mechi Moja haitoshi kujua mapungufu/makali ya mchezaji
Huyu Jamaa hajajibiwa vibaya.Kwa upuuzi wake angestahili lugha Kali zaidi ya hiyo maana Ni zuzu
 
Akiwa na Umri wa miaka 31. Clautous Chama anaonekana akiwa amechoka mapema. Ukilinganisha na wachezaji wenzake wenye umri sawa na yeye kama wakina Baraka Majogoro, Lucas Kikoti na Ramadhan Chombo.

Urejeo wake unaonekana wazi kwamba umeleta mzigo wa wachezaji wenye umri mkubwa na kuongezeka kwa mzigo wa mishahara kwa klabu.

Kama ulipata nafasi ya kumtazama vyema utakuwa umegundua vitu vifuatavyo ambavyo nimevi-notice kutoka kwake.

1. Ni mzito ku-track back pale mpira unapokuwa kwa upinzani. - tangu aingizwe uwanjani simba ilionekana kuwa vulnerable zaidi kwenye counter attacks.

2. Mipira/Pasi zake zimekuwa sio za uhakika kama ilivyo awali - Pasi nyingi alizokuwa akipiga zilikuwa zinakuwa-intercepted na viungo wa Mtibwa. Hili linaonyesha ameishiwa kabisa nguvu za kutosha miguuni kufikisha mipira kwenye target.

3. Anakabia snaa macho - Hii nadhani imesababishwa na hali ya kujiona yeye ndio superstar kuliko yeyote pale klabuni. Hii tabia ndio ilimpelekea hata Ibenge asimuweke kwenye hesabu zake.

4. Physique yake imeshuka kiasi kwamba mipira mingi alikuwa akipoteza. Hii inatokana na kudorora kwa nyama nyama za mwili wake tangu arejee kutoka Morroco.

5. Hana tena threat mbele ya lango la wapinzani kwakuwa kwenye chezo wa Manungu alikuwa na 0 shoots on target & 1 shoot on target. Na final passes zake nyingi zilikiwa diagonal.

Kwa jicho la kichambuzi hizi sababu ziko universal kwa wachezaji wengi wenye above 30 pale Simba.

Hivyo basi Chama hajaja kuokoa jahazi, bali amekuja kuongeza tatizo.
Kuhusu physique Sawa, Ila hayo mengine hapana. Chama bado ameonesha ni mzuri japo si Kwa kiwango cha mwaka juzi, anahtaji Muda.
 
Naona mdau ameleta mada aliyochambua ameweka maoni yake badala ya kupingwa kwa hoja anakula mitusi kumbe Genta anakuwaga sawa kuwapa shit
 
Akiwa na Umri wa miaka 31. Clautous Chama anaonekana akiwa amechoka mapema. Ukilinganisha na wachezaji wenzake wenye umri sawa na yeye kama wakina Baraka Majogoro, Lucas Kikoti na Ramadhan Chombo.

Urejeo wake unaonekana wazi kwamba umeleta mzigo wa wachezaji wenye umri mkubwa na kuongezeka kwa mzigo wa mishahara kwa klabu.

Kama ulipata nafasi ya kumtazama vyema utakuwa umegundua vitu vifuatavyo ambavyo nimevi-notice kutoka kwake.

1. Ni mzito ku-track back pale mpira unapokuwa kwa upinzani. - tangu aingizwe uwanjani simba ilionekana kuwa vulnerable zaidi kwenye counter attacks.

2. Mipira/Pasi zake zimekuwa sio za uhakika kama ilivyo awali - Pasi nyingi alizokuwa akipiga zilikuwa zinakuwa-intercepted na viungo wa Mtibwa. Hili linaonyesha ameishiwa kabisa nguvu za kutosha miguuni kufikisha mipira kwenye target.

3. Anakabia snaa macho - Hii nadhani imesababishwa na hali ya kujiona yeye ndio superstar kuliko yeyote pale klabuni. Hii tabia ndio ilimpelekea hata Ibenge asimuweke kwenye hesabu zake.

4. Physique yake imeshuka kiasi kwamba mipira mingi alikuwa akipoteza. Hii inatokana na kudorora kwa nyama nyama za mwili wake tangu arejee kutoka Morroco.

5. Hana tena threat mbele ya lango la wapinzani kwakuwa kwenye chezo wa Manungu alikuwa na 0 shoots on target & 1 shoot on target. Na final passes zake nyingi zilikiwa diagonal.

Kwa jicho la kichambuzi hizi sababu ziko universal kwa wachezaji wengi wenye above 30 pale Simba.

Hivyo basi Chama hajaja kuokoa jahazi, bali amekuja kuongeza tatizo.
Chama umri umemtupa mkono, anayo miaka 41 na si 31
 
za ndani kabisa toka kwa mudi mudinga(mo), vifuatavyo ndo virefu vya SIMBA

1.SIMBA- sisi makolo bange
2.SIMBA- sisi mikia bange

nb: mjumbe hauawi.
 
Needless to say Chama is, arguably, a pale shadow of what he used to be and for the bigger part of the time he played he was nothing but a peripheral figure.

If he will make amends and return to his glory past is nobody's guess but judged by his current form, he lacks support.
You have provided a very detailed analysis of what I have described.

Thanks.
 
Back
Top Bottom