Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,395
- 3,897
Aliyekuwa Mbunge wa Bunda Mjini kupitia CHADEMA ndugu ESTER BULAYA nilimsikiliza kwa umakini sana wakati akiwahutubia wananchi wake.
Alijinasibu kuwa yeye simba jike alijinasibu kuleta maendeleo Bunda mjini ikiwemo maji, madawati, Barabara huku akiiponda serikali ya CCM.
Nilijiuliza sana mbunge huyu ambaye chama chake kila mara kilipiga kura ya kupinga bajeti ya serikali hayo anayoyasema yametekelezwa alipinga, wabunge wa Upinzani akiwemo ESTER BULAYA waliigomea bajeti wazi wazi. Kugomea bajeti maana yake ni kupinga maendeleo ya aina yoyote yasiende Tanzania yakiwemo na majimbo ya Upinzani ndio maana pamoja na kuongea kwa sauti za kiuanaharakati lakini wananchi hawakuonyesha ushirikiano.
Pamoja na kuonyesha bashasha wananchi walijiinamia yaani nguvu iliyotumika it was inversely proportional to the response.
Watu walionekana kujiinamia tu, CHADEMA walisahau kilichowafanya wapendwe na wananchi ni kuwatetea kuwapigania, kuwasemea matatizo yao, kuwaimbia matatizo yao.
Wananchi wa Nyamongo hawajasahau vile CHADEMA walikuwa upande wa Mabeberu wakimsaliti wazi wazi mpiganaji jemedari watu.
Ukipanda pumba utavuna pumba hivi ndivyo CHADEMA wakichokipanda wacha wakivune anguko LA chama hiki litakuwa la karne yaani Nina uhakika hakiwezi kupata hata Diwani mmoja
Magufuli aliimba tuunganeni tuijenge nchi nyie mnang'ang'ana kumshambulia kwa maneno ya kejeli wananchi mlikuwa mnawakera sana.
Hali niliyoieleza kwa ESTER BULAYA imetokea kwa HECHE, yaani wananchi hawana furaha wamenuna
Nawashauri CHADEMA wakitaka washinde walau majimbo machache waeleze Sera waache kumshambulia Magufuli na CCM watapotea kabisa tena hawataoneka
Magufuli na CCM ni tunu ya nchi kwa ss hatuna Budi kumuombea mpakwa mafuta wa bwana..
Jamani fungueni Cilp za Heche na BULAYA mtaona