Nimempoteza anti yangu muhimbili jioni ya leo!!

Pole sana mkuu,Siku si nyiingi tutashuhudia jambo,hatuwezi kuendelea kuwa na viongozi bomu namna hii
 
Polea sana ndg yangu, hatutasikia ndg wa mkubwa amekufa Muhimbili, wanaenda kutibiwa nje ya nchi
 
Anaitwa nani na alilazwa wodi gani? Hujui hata jina la anti yako, huna maana unaleta umbea hapa. kamilisha taarifa ili uaminike

uwe na busara wakati mwingine..Jina linakuhusu nini?kwani wewe ukisema babako kafa tutakuuliza jina?na wodi aliyolazwa unaitakia mimi? watu wengine bwana utadhani mapunga mawazo yenu..mtu kafiwa unaleta mambo yako ya kipumbafu..sio lazima u comment...
 
Mkuu pole nyingi umepata naamin machungu na maumivu uliyoyapata yawe chachu yamapinduzu tz.
Naamin mpaka sasa utakuwa front line.
 
Pole sana. Lakini justice must be done. Life is always fair. That is the law of the Universe. There may not be fairness to an individual person,or an individual nation,or an individual planetor to an individual universe. But there is fairness to the whole.to the totality.
Inawezekana kuiachia hali hii mbaya iliyopo Muhimbili iendelee? What is the alternative/ Kama Serkali inaona taabu kumuuliza maswali Waziri wa Afya kuhusu malipo ya madkatari,that is because Serikali inaona ni rahisi kuwabulldoze madaktari warudi kazini. In all this,kwa nini Waziri wa Fedha,Mustapaha Mklo haulizwi kitu chochote? Kwa nini Waziri wa Fedha hawzi kuharakishwa kuwalipa wale fedha zao?
Kuhusu ukatili kwa raia;tazama yanayotokea Syria,tazama yaliyotokea Libya. Watu wanateseka,lakini the Internaional Commutnity does not notice it right away. Kwa hiyo ,we must have a sense of perspective,even at the risk of being called 'callous'.let us not become too excited. The best way,maybe the only way to solve the problem,is to adress the greviances of the doctors.
Halafu tazama ilivyokuwa Libya,UN imewasaidia wale kumuondoa Muamr Kdafi,lakini wao,they re torturing prisoners,removing the hand nails and toe nails of prisoners. Can the Russians and the Chinese be blamed for vetoing that resolution?
Kuna matatizo Muhimbili,I am not supporting that Mr. Aligaeli,yule Afisa wa Muhimbili ambaye yuko katika sate of denial. Hawa ndio watu ambao labda wanawakasirisha madaktari. Lakini iiwepo excitement ya kusababisha Serkali ifanye something rash dhidi ya nadakaktari.
 
Hapa Jf kuna watu wako muhimbili watatusadia kutafuta ukweli lakini pia nina jamaa Muhimbili yuko kitengo cha kutunza majina ya waliokufa naweza kufuatilia

We huo ukweli unakuhusu nini??
 
Na mimi nimefiwa Bugando. Unaona taarifa hii imekamilika na kushawishi ukweli wake? JF tupunguze udaku tutaharibu heshima ya JF. Tuwe wadadisi kabla ya kutoa maoni.

Ok, RIP huyo ndugu yako aliyefariki Bugando...Vp umefurahi 2memu wish RIP ndugu yk!?
 
ujue jina la anti yake ili umjue aliyepost hii taarifa. poleni kwa msiba Mungu awape subira
 
pole kwa msiba mkuu...japo wengine wanachukulia mzaha na kejeli, ikumbukwe kila nafsi itaonja mauti
 
Back
Top Bottom