Nimempita GF wangu tofauti ya zaidi ya miaka 17 JE HAPO HAKUNA TATIZO

hivi unajua umenishtusha sana??

Hili neno 'tong' linafanana na 'tonja'

na tonja ni gagulo, nimedhani umeliona langu ambalo mateka analinunulia.

Ujue ananizidi miaka 13? Nimwache??


usimuache. Kwani ile small house yako Muuza mkaa si bado uko nae? Kuna shower gel ya apple and youghurts, ukimloweka 10 mins anakuwa kama mzungu.
 
Mkuu we amini kuwa ng'ombe hazeeki maini, hiyo age difference siyo issue, chukua mtoto weka ndani acha kupoteza muda zaidi!
 
Hapo hata kama mngekuwa age sawa kama kitu ndio umetoa sealed mwenyewe bado sana...mpaka apitie prukushani nyingi kabla ya kuwa tayari kuolewa.....

Pia yeye akiwa 30 kwenye peak wewe utakuwa mzee wa 47....pia jua atakuwa mke kinyumbani tu but hamtakuwa na interest na fun pamoja...mfano akiwa 24-28 atataka kwenda klub wewe hutamudu hayo mambo.....lakini sio lazima tufanye kila kitu kufuata mazoea unaweza jaribu!:alien::alien:
 
kwahiyo unanishauri nimgonge na kumuacha nikatafute wazee???
 
nimekusoma kaka . kaoa dokta slaa itakuwa mimi .
 
Kaka shkamoo...

Hapo kwa age diference ya 17yrs naona tatizo lipo....huyo mboni ni kama mwanao wa kike?..au hilo hata wewe hulioni?...tafuta mwenzio bana atleast age difference isifike double digits...yani iwe kwenye 9 kwenda chini .

Duuh mie mpaka naogopa...hivi huoni hata aibu kuvua nguo kisha unakatiza chumbani bo@#$ro linaninginia na ke@#$nde zako kisha kabinti kanakuangalia??

Hako ukikaoa then miaka mitano ijayo unaanza kuzinguliwa na sugar kenyewe ndio dam full kuchemka..utagongewaje na vijana wa bonge-fleva...aibuu. Mtafute mkubwa mwenzio kama huweza sema tukusaidie kutafuta waliojichokea na midume wanataka kutulia waolewe walee familia.

Ulisema una deg 2??..yani masters?...hukuchukulia hata russia ingekusaidia ungerudi na bibi wako wa kizungu uwe umetupiga bao sie tulio-owa waswahili...

Duu umenichekesha sana
 
Me naona umri huu mkubwa sana tafuta mwingine kaka kwani sina uhakika mbele kama itawezekana kuishi naye, nikitazama thread umemzidi miaka zaidi ya 17, maana yake umemzidi miaka 18,,,,,, hii tofauti kubwa, any way kupenda kupendana au siyo, unaweza kuoa lakini uwe na tahadhari lolote linaweza kutokea huko mbele....
All the best
 
Huyu jamaa mbona amekaa kama ni FFU? Tanganyikajeki? Mzee, depo ilichukuwa muda wako saana inaonekana! oops just kidding. Tanganyikajeki ebu tujuze kulikoni mpaka mawio ndo waanza kukimbilia kuanzisha familia? au the media mogul ndo mfano wako? Lakini yeye alianza mapema, mzee. Nakushauri nenda kapate ushauri kwa mwalimu wako wa dini kwanza kabla ya kurudi hapa.
 
Tatzo umemdanganya hapo si wezi kukupa ushauri wowote ungekuwa mwaminifu mkuu.mbona wanawake shwala la kupshana miaka uwa wanalfumbia macho
 
Binamu yangu aliolewa na mtu mzima. Umri kama wako tu maana hauko mbali na 40 weye. Akamzalisha kama nyau, kila mwaka na mtoto. Baada ya watoto 4 akaenda kumfunga kizazi. Kwa vile alikuwa mdogo na amelelewa kwenye maadili ya dini, alikuwa anafuatisha kila asemacho mume/baba. Lakini baada ya miaka michache, mume akaonekana mkubwa sana, kisichana kilipoacha kuzaa, sasa ndio kikaonekana jinsi kweli kilivyo kirembo. Matokeo, ni wivu usio na kipimo, kipigo kila siku haruhusiwi hata kusuka nywele za rasta. Matokeo yake, binti akapata wa umri wake. Ndoa ikavunjika hadi leo. Binti ukimuangalia utadhani ndio kwanza sasa kafikisha miaka 24. Mume kongokocho. 17 might seem fine now, but after 5 to 10 yrs??

hapo umenena tafuta wa age yako mkaka
 
muoe huyo binti kisha aendelee na shule manake umesha mbikiri na pia umpende kweli manake ujue ana chances za kupata wengine nyingi zaid kuliko wewe.
 
Vya aina hiyo sitaki kuvisikia tena mwaka wa kwanza?mi nilikuwa nacho nilikipita miaka 11, haikupita muda eti kinaniambia kimepata boy friend mwingine, havina maana hivi, bikira nini bwana!, kitakusumbua icho tena kama hakikuwahi ku----------- kabla ki delete huko, na wewe uache uhuni, miaka yote hiyo bado una hangaika?ungekuwa mwanangu ungepata habari yako.
 
Mwanzo nilijua ningepiga na kusepa . Lakini nikaja kuona nimeganda na yeye kafika. Kinachoniogopesha sasa ni kuwa nitazeeka kabla yake ndio kitu nachohofia

akiwa na miaka 35/40 wewe utakuwa na miaka kama 55, Muda huo nguvu kwa wanaume huwa zimepungua na kwa mwanamke ndio muda sasa mwili unataka. Nina mfano hai, kuna mzee alioa kabinti kabichi, huyu mzee sasa hivi ana miaka 57, mwanamke ana miaka 39, alimfungia sana mwanzoni, na alikuwa na wivu sana, sasa mzee nguvu zikawa zimepungua... yule mama sasa hivi ninnavyoongea na wewe marafiki wa mzee twende, vijana sehemu anayofanyia twende yaani amekuwa anagawa kama pipi. Kwa sababu ya hilo mzee kapata stroke, sukari ninavyoongea na wewe yuko hoi baada ya ku paralyse, na kupoteza kumbu kumbu. Na ilitokea baada ya kugundua mkewe mja mzito na mimba si yake... Angalia sana ndugu, umri muhimu usizidiane sana.
 
Back
Top Bottom