Nimempita GF wangu tofauti ya zaidi ya miaka 17 JE HAPO HAKUNA TATIZO

Lol! Unatafuta balaa wewe! Mwenzio kwenye diskasheni wanamsimulia stori za sun ciro wewe unaongelea sijui matofali na mashamba! Jamani wadada wa 30 wakaolewe na nani mnaoa watoto?!
Hakikisha una-maintain membership humu, utahitaji stress relieve za kutosha. 19 yrs!!! She could be ur daughter for pity's sake!!

Tatizo la hiyo age difference mimi silioni, kama wamependana na kuridhiana bila kusahau kukong'oli kandanda vizuri mpaka binti anaridhika hiyo haina shida, maana binti anaweza akapata age mate wake au aliemzidi kidogo lakini hajui ku-care, kukong'oli akawa mchovu ukizingatia kizazi chenyewe hiki ni cha mabroiler! vibamia vimechoooka, acha binti ale maraha ya mtu mzima- penzi na shughuli kama kawa!
 
Kuna details nyingine mdau ameziorozesha naona kama hazikuwa na umuhimu wa kuzisema.
Mfano 'nimemtoa bikra', 'nina degree mbili'.
Anyway, age is nothing but is just a number. Gape la miaka 17 ni la kawaida sana katika mapenzi na ndoa kwa ujumla.

Hiyo ya Bikra sikusoma nilifoward lakini ilibidi nirewaind niisome hakuna haja yakutuambia.
 
Ebwana umri siyo kigezo kama vp muoe umemvunja ubikira ukimwacha itakuwaje syo fire kama mnapendana bas mmependan kiukwel syo mapenzi ya unafiki
 
Uwongo ni zambi kubwa ktk mapenzi. Tafuta atleast mwenye umri ulipevuka huyo ni mtoto sana kwako unambaka
 
Wangu tumezidiana miaka 12 na maisha ni mazuri tu. Mwanamke kuwa mdogo kiumri si mbaya ila msizidiane sana. Kwa miaka hii 12 naona tunaendana tu tena kwa sana.
 
Binti wa watu bado hata hajajua utamu wa mapenzi,halafu huko mbeleni keshakolea eti mzee mzima mambo yakusuasua.Aisee unatangaza vita huku huna vifaa vya maangamizi!?
 
Kwa hilo pole!
Ukwel na uaminifu katika mapenz ni muhimu sana!
Kama umemdangaya umri tu ni kigezo tosha cha kumfanya gf apunguze/kukuacha especially whenever know lengo lake siyo kuolewa na mtu mwenye diff kubwa kiivyo!!
HEBU MUELEZE UKWEL KWANZA

wewe sasa ni mtu mzima tafuta hata anayekukaribia atleast age diff 1-10!

Tafuta mtu anayeendana na kasi yako kaka HUYO KASI YAKE KUBWA 1mb/sec!

Angalia acje akawa anataka umpe pesa cha kutanua tu chuo then baadaye huna chako!
 
Sasa wewe ujana wako ulikula na nani?EBU TAFUTA MZEE MWENZIO BHANA! ACHA KUMFANYA HUYO BINT AJE KUJUTA KUKUFAHAMU KWA SABABU WEWE NI KAMA BABAKE.
 



hahahaha! umefikiria mbali mno!

Jiangalie hata wewe, vitu ulivyokuwa unavipa kipaumbele miaka 17 iliyopita na sasa hivi. Ukikutana na kijana anawaza supplimentary unamshangaa. Manake wewe unawaza maghorofa ya hewani. Sasa mwenzio anaishi 17 years ago, mtakutana wapi? Una hamu ya ugali yeye anataka chipsi vumbi! Mkizeeshana raha, mnakamatana mikono haooooo kwenye supu ya kongoro. Huuzi sura, unaangalia flava tu. najua Kongosho anakubaliana na mimi hapa.
 
Last edited by a moderator:
Lol! Unatafuta balaa wewe! Mwenzio kwenye diskasheni wanamsimulia stori za sun ciro wewe unaongelea sijui matofali na mashamba! Jamani wadada wa 30 wakaolewe na nani mnaoa watoto?!
Hakikisha una-maintain membership humu, utahitaji stress relieve za kutosha. 19 yrs!!! She could be ur daughter for pity's sake!!

Hahahhahahahaha umenichekesha

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
huwezi tamani maziwa at 35 wakati hujawahi yaonja.

Mie sasa hivi nianze kulilia milkshake, si watasema mizimu ya kwetu imepnda?

Nimekua nakula viazi baga ntatamani wapi.

Toka hapa, mengine tunajifunzia mjini banaa. Mama yako alishakuvalishaga tong ama gstring wewe? Si ulimuona mateka anakodolea ukaamua na wewe kujitosa?
 
mwaya oa tu
wangapi wameolewa na watu wanawazidi umri na familia zinaenda tena kwa raha zao.

Si kila mwanamke kapitia disko, au anatamani kujirusha. Wengine wamezaliwa wakiwa wabibi tu.

Mechekaaaaa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
... Hata hako kabinti katakuwa kamewekeza kupunguza makali ya maisha chuoni, baadaye katamuachia manyoya tuu!kwanza madent wenzake watamueka sawa!
 
aka 17 difference..lol
Ingawa age is just numbers lakini kwa huu wa kwako umeenda mbali sana.
Any way ungekuwa hujawahi kumdo ningesema muache but kwa hapo mlipofika endelezaneni tu.
Ila kama alivyosema King'asti itabidi uombe kuwa platinum member hapa..manake najua hukawii kurudi na msredi!
 
Last edited by a moderator:
hapo shida ipo kaka! wakati yeye damu inazidi kuchemka ya kwako ndo inazidi kupoa! hiyo hatari inakuja na siku hizi mara sukari mara pressure itakua kimoja kwa wiki! kama hujagongewa na houseboy basi jua dereva! ThInk BiG
 
hivi unajua umenishtusha sana??

Hili neno 'tong' linafanana na 'tonja'

na tonja ni gagulo, nimedhani umeliona langu ambalo mateka analinunulia.

Ujue ananizidi miaka 13? Nimwache??

Toka hapa, mengine tunajifunzia mjini banaa. Mama yako alishakuvalishaga tong ama gstring wewe? Si ulimuona mateka anakodolea ukaamua na wewe kujitosa?
 
Unatembea na mwanao!! Kweli elimu ya bongo ni ya kukariri yani mtu ana masters anafanya utumbo kama huu,umeshindwa kukamata mabinti wa >25?
 
Back
Top Bottom