Nimempenda, nataka kumuoa, itakuwaje?

Kipenzi Chao

Member
Oct 12, 2010
99
4
Nikimuoa mwanamke aliyewahi kuwa cheated na Ex wake, halafu naye akawa alimcheat baada ya kumuonya mara kadhaa bila mafanikio itakuwaje?
 
Kipenda roho hula nyama mbichi kaka kama umependa oa tu hakuna noma. Sema na moyo wako
 
inakuwa poa
asi nawe pia umejiandaa kuchitiwa ukimcht?
ahh uyo demu lazma atakuwa mjeda....bullet kwa bullet...ukiminya triger ..anaikok nayake tayar kwa mashambuliz....
TAFUTA DECENT AT LST ..
 
Tit 4 tat, ila yote yanawezekana , Wanzanzibar wanasema mtu c mbwa, maana ni kuwa anaweza kubadilika,juhudi zako tu za kumbadilisha, ila mi namuona ni decent, kama ukuilianza bifu, yeye anaweka tifu, sasa ukiwa mtiifu naye atakuwa mtulivu, man weka jiko ndani wewe, weraaaaaaaaaa, weraaaaaaaaaaaaaaaaaaa, msela amekamatikaaaaaaaaaaa................!
 
Nikimuoa mwanamke aliyewahi kuwa cheated na Ex wake, halafu naye akawa alimcheat baada ya kumuonya mara kadhaa bila mafanikio itakuwaje?

Weye unatoka wapi na hao watu.........au wewe ndiye ulie-cheat na huyo mzinifu sasa umenogewa unataka kuchukua jumla?

jibu haya maswali kwanza ndiyo tukushauri vizuri.....................
 
Back
Top Bottom