Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 863
Wiki chache zilizopita nilijitokeza hadharani nikimtafuta Upendo wa Maisha Plus One katika jukwaa hili la Celebrities.Wengine walinikatisha tamaa wakiniona kama mimi ni fataki,wengine walinitia moyo,na wengine wakaniconnect na binti huyu..Nimewasiliana naye na kufanya appointment naye ya kuonana naye ana kwa ana kwaajili ya shughuli niliyokuwa nataka nifanye naye. I met with her yesterday evening tukazungumza kwa sana.Natarajia kufanya naye shughuli iliniyonifanya nimtafute.Tutakuwa wote Morogoro,Dodoma,Iringa,Arusha na Dar.
Namshukuru sana Masika na wengineo kwa kuniunganisha naye.Asanteni sana wote.
Namshukuru sana Masika na wengineo kwa kuniunganisha naye.Asanteni sana wote.