Nimempata nimpendae, nashukuru JF kwa kunipatia nimpendae

bongenyo

Member
Aug 2, 2016
50
31
Habari,

Nimerudi kwenu tena kuwapa mrejesho kwani nimeshampata nimpendae nae amenipenda, nawashukuru wana JF wote kwa kunipa changamoto kwani kutafuta mpenzi sio mchezo wa kitoto, asanteni sana.

Asante JF kwakunipatia nimpendae.

Narejesha
 
Habar
nimerud kwenu tena kuwapa mrejesho kwan nimeshampata nimpendae nae amenipenda,

Nawashukuru wana jf wote kwa kunipa changamoto kwan kutafuta mpenz c mchezo wa kitoto ,asanten sana ,asante jf kwakunipatia nimpendae.

Narejesha
HONGERA sana kwako kwa kumpata umpendae na akupendae maana ni NADRA sana kwa jamii ya leo kuwapata 2 wapendanao kwa DHATI ........
SHIKAMANA mamiii
 
Mimi kinachonifurahisha ni style yako ya kuhama kutoka nyumba A(kwa mpenzi wa sasa hivi) na kwenda nyumba B(kwa mpenzi mpya)!
 
Habari,

Nimerudi kwenu tena kuwapa mrejesho kwani nimeshampata nimpendae nae amenipenda, nawashukuru wana JF wote kwa kunipa changamoto kwani kutafuta mpenzi sio mchezo wa kitoto, asanteni sana.

Asante JF kwakunipatia nimpendae.

Narejesha
Hongera zako.
 
Una vituko si haba:-
i. Una miaka 23 na una mtoto mmoja (at this age)
ii. Tarehe 10.08.2016 ulitaka kujua kama una mimba (hivyo ulikuwa unasex bila ndom)
iii. Tarehe 23.08.2016 Unalalamika kuwa upo kwenye ndoa na mme wako hakujali anajinunulia nguo yeye
iv. Tarehe 09.09.2016 Unatafuta mpenzi
v. Leo unathibitisha umempata mpenzi anayekupenda
Nawasilisha
 
ndio uwon kama nimefata process zote
 
Back
Top Bottom