Ndugu zangu mwezi Mungu amenipa zawadi ya mchumba mzuri kweli kitabia na hata kisura, kiukweli ananipenda na hata mie nampenda, watu wengi wakiwepo marafiki wamegundua kuwa sina ujuzi wa kuimarisha upendo kwa mwanamke, wana jf sipo tayari kumpoteza huyu dada wakati nyinyi wataalamu wa ushauri mpo, msaada tafathali juu ya namna ya kumfanya anipende zaidi.