Nimempata MCHUMBA ni mzuri kisura na kitabia, naombeni njia/ujuzi za/wa kumfanya anipende zaidi.

Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
892
293
Ndugu zangu mwezi Mungu amenipa zawadi ya mchumba mzuri kweli kitabia na hata kisura, kiukweli ananipenda na hata mie nampenda, watu wengi wakiwepo marafiki wamegundua kuwa sina ujuzi wa kuimarisha upendo kwa mwanamke, wana jf sipo tayari kumpoteza huyu dada wakati nyinyi wataalamu wa ushauri mpo, msaada tafathali juu ya namna ya kumfanya anipende zaidi.
 
Mpe hela bila kikomo.......
 
Kabadilishe hati ya nyumba na kadi ya Gari andika jina lake! Mpe ITM card na namba yako ya Siri uone love litakavyoimarika mkuu!
 
Aisee! Haizekani ndugu, hatu yule aliemwendea Yesu alikataa mali zake kuuzwa
Kabadilishe hati ya nyumba na kadi ya Gari andika jina lake! Mpe ITM card na namba yako ya Siri uone love litakavyoimarika mkuu!
 
Mwaga pesa Mkuu,

Akicheka mpe Pesa,

Akinuna Mpe Pesa,

Akijamba Mpe Pesa,

Yani chochote atakacho fanya mpatie Pesa mbona atakupenda Kinoma
 
Jaribu kuchunguza kipi anachopendelea sana then umpe bila kikomo,kikubwa zaidi. Tafuta pesa kama unavyojua cash rules evrythn
 
Watakuja wale wachangiaji wawili wenye kutaka picha hvo jiandae.

Mkuu kubwa zaidi ni usijifoji,kuwa wewe
 
Utaelewa tu mkubwa, akili ikikomaa utajua kwamba kunakuwaga na kukosea herufi wakati mwingine!

akili imekomaa sana tu ndio maana nikauliza hivyo,ili kujua kama tafsiri yangu ndio ipo tofauti ama ni uandishi wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom