Nimempata MCHUMBA ni mzuri kisura na kitabia, naombeni njia/ujuzi za/wa kumfanya anipende zaidi.

daa burudani humu jukwaani, weka picha kwanza tujue kama kweli atakufaa
 
First thing first
Kama unataka huyo bint akupende, potezea ushauri wa humu ndani, watakuchanganya hawa watu lol
 
Next tym usimcopliment cna mchumba, mchore kawaida cna pengine ungesema hana mvuto, nk ila tabia iko poa ushauri ungepewa murua, hatupendani cna japo hatujuani, ua thread z + ve
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom