Nimempa zawadi cha ajabu amekata mawasiliano na mimi

kingkongtz

JF-Expert Member
Dec 28, 2019
1,023
3,458
wakuu polen kwa msiba


huyu binti nimefahamiana nae kama mwiez miwil nyuma na sasa tumekuw wapenzi

ana kazi (ni muajiriwa) mi mfanyabiashara kwa hyo huwa tunakutana mara nying weekend au nyakat za usiku baada ya mishemishe.

kwa kipind chote icho nmekuw nae sijawah kuona dalil yoyote ya usaliti wala ubaya,simu yake nashinda nayo hata yakwangu kuna muda anakuw nayo,kiufupi tunaaminiana .

jana nlimtext kuw kuna zawad nmemnunulia aje gheto kuchukua ,alifurah sana kupita maelezo akanmbia hajawah kupenda mwanaume kama anavyonipenda mm,akaongezea kwa kusema najua kujal hata ndugu zake wanafaham nna tabia nzur

alitinga night alipofika gheto alipika ,alifanya usaf kiufup alifanya kazi zote ambazo mwanamke anapaswa kufanya ,nilipenda

baada ya msos alitaka kuaga akidai angerud weekend nikamjibu haina neno nikazama kweny kabat langu la nguo nikamtolea zawad yake nikampa ,alifurah akanikumbatia akanambia ataifungua home kwa sabb ana haraka sikubisha aliondoka


PICHA LINAANZA

Baada ya nusu saa alintext "mambo,zawad yako nmeiona thanks",baada ya hapo nlimpigia cm hakupokea ,tuma sms hajibu,nikapiga mara ya mwisho hakupokea

leo asubuh nmemtext "habar ya asubuhi "akajibu "poa" nikamuuliza call na sms zangu nlizokutumia jana hukuziona??? kajibu "niliziona"

nikamuuliza mbona hukujibu au hujapenda zawad na kama hujapenda mbna hujanambia.hajajbu mpka sasa

nimejipa sku mbil tu nimpige chini.

(kuhusu zawad nilimnunulia chupi 3 nyeupe mbil na nyeus moja jumla 15k pamoja na saa ya 10k)


WAKULUNGWA HAPO NIMEFELI WAPI
 
Ulimpa nauli?kapesa kidogo?
Inaonesha akilini mwake alitegemea Zawadi yenye thamani zaidi ya hizo ulizotoa so inaonesha alivyofika nyumbani alipiga hesabu jinsi ulivyompatia taarifa kuhusu Zawadi na jinsi alivyoipokea pia na thamani ya hiyo Zawadi yenyewe la mwisho muda aliotumia kwako (umemfanyisha kazi Sana alafu zawadi yenyewe chupi)😂😂

Pole Sana ungempatia na kapesa kidogo hata ka nauli tu ...
 
Pole sana, maybe alitarajia atakutana na kitu kikubwa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ila mkuu jamani siku nyingine ukinunua vitu kama hizo basi usiseme,unampa tu bila taarifa

Au ukute kaona umemdharau, saa labda alitamaji iwe smart watch au material ya pichu hajayapenda
Ila wanawake sie tuna mambo zoea tu mkuu
emoji23.png
emoji23.png
 
Mkulungwa mm nimeachwa leo siku ya nane, kisa cha kuachwa et SIMJALI,

Kiufupi sijawahi kumpa hela wala nn zaidi ya neno NAKUPENDA SANA BABY.
najiona kuzoea saiz, Ee Mungu nisaidie niwe hivihivi mpaka ukinibless wewe, Ameen.

Pole mkuu, expectations zake zimeenda tofaut na zawadi yako. Hilo ndilo tatizo.
 
Huyo alijua zawadi ni wewe kufanya ngono naye.
Akashangaa hufunguki na baadae unampa chupi.
Chupi ile iwe zawadi nzuri, unamlala kwanza mpenzio kisha unampa ajaribu kuzivaa

AU LABDA inawezekana hukumkadiria vizuri size ya chupi hivyo amekereka kuona umeshindwaje kumkadiria vipimo vya chupi.
 
Back
Top Bottom