Nimempa mimba mke wa mtu lakini kaniambia nisiogope

Ndugu zangu waungwana, aman iwe nanyi, hakika muwazima wa afya tele

Leo hii mada si kwa masela peke yao hadi washalika wengine naomben japo kaushauli kenu kwa magumu haya niliyo nayo, maana sasa mwenzenu maji yamenifika shingon na nataka kuzama na sion msaada, sion matawi wala nyumba niko baharin nazama yaan nimechanganyikiwa

Mimi bhana kuna dada mmoja jilan kaolewa yaan ana mume sema huyo mume wake huwa anasafili mara kwa mara na safali zake akienda zinachukua mda mrefu hadi alud kama miezi miwili had mitatu, aliondoka mwez wa kumi na mbili mwanzon akaenda huko anakoendaga

alimuacha mke wake peke yake mtoto wa kiume nikawa najipigia pole pole usiku na mchana kwa raha zote na starehe zote bila buguza wa shida, sasa juzi yule mwanamuke mke wa jamaa kaniambia ana mimba yangu na ina mwez sema alikua bado hajanambia na mume wake week ijayo anatua

Yaan nimeogopa sana hapa nilipo lakin kanambia nisiogope yeye anajua namuna ya kusovu

Naomben ushauli wenu ndugu zangu nifanyeje na leo usiku nilikuwa naye na nimekula mzigo kama kawaida lakin naogopa kinoma, lakin mtoto ni chombo aisee ni kisu balaa yaan ni mkali kinoma

JUA TU KITU KIMOJA, HUKO ANAKOSAFIRI HUWA ANAENDA KUTAFUTIA MKE WAKE NA WATOTO RIZIKI. KWA HIYO ANAPOONDOKA NYUMBANI NDO LENGO HILO.
 
Too late. Labda umuulize mwenzio... amesea kuwa anajua jinsi ya kusolve.... muulize ata solve vip sasa....?
 
Dah.... Ludi ukahakishe kwa majiLani kama mumewe ataLudi wiki ijayo... Nasikia mume wake mkoLofi na anapiga kaLeti balaa
 
Wewe si unajiamini broo akija jamaa kaa kimya halafu akisafiri tena waamishie wote kwako hapo utakuwa umemkomoa asisafiri tena ila angalizo uwe unajua konfuu na uhakikishe hulali mlango wazi.
 
KWA WENYE WAKE TUNAELEWA JINSI INAVYOUMA, NI WADADA WANGAPI WAKO MTAANI MPAKA UFUATE MKE WA MTU?
Wadada wengi gharama yao iko juu sana lakin hawa wake zenu ni kujipigia tu wala hakuna cha gharama
 
Wewe si unajiamini broo akija jamaa kaa kimya halafu akisafiri tena waamishie wote kwako hapo utakuwa umemkomoa asisafiri tena ila angalizo uwe unajua konfuu na uhakikishe hulali mlango wazi.
Huu ni ushauli uchwara
 
Back
Top Bottom