Nimempa hela jana tu, niko mbali umeme umeisha nimemwambia aweke anadai nitamlipa hela yake

Dah! Wakuu, mitihani ni mingi jamani hawa wanawake zetu hawa. Niko mbali na home umeme umeisha, bint/slay queen anatuma msg LUKU imeisha.

Yeye kashinda home toka asubuhi yaani anashindwa nunua umeme kweli hadi apige simu. Hivi wadada mbona mko hivi? Ujue mnajidhalilisha? Aisee!

Haya nimenunua umeme sasa kaa uangalie TV hapo sebuleni. Hapa jana tu kaniomba 50k na ana kazi eti utanilipa hela yangu wakati hiyo hela nimempa mimi jana.

Kiukweli nimemwambia sawa nitakupa hela yako, sasa sijui kanunua umeme wa Tsh. ngapi, ngoja nirudi home nione. Aisee! Slay queens mna kazi

Ila wakuu kuishi na mtu ni kibarua kigumu sana, inataka moyo sana. Sina gubu kama baadhi yenu mnavyosemaga nataka kuonyesha tu jinsi gani hawa wenzetu itakua ngumu kufikia maazimio ya Beijing

"Ishini na mademu zenu kwa akili"
 
Kunipenda ananipenda..tatzo lake anapenda mashindano
Na wewe huna kaba.

Utalalamika kwa mangapi?
Ila mi toka ule uzi wa yule binti uliyemlipa kisasi nakutazama jicho la tofauti sana.
Sijioni kama mtu unayetambua unaishi dunia ya Mungu, ywnye viumbe wasiokamilika, wenye mema na madhaifu kama ilivyo wewe.

Anyways pole.
 
Dah! Wakuu, mitihani ni mingi jamani hawa wanawake zetu hawa. Niko mbali na home umeme umeisha, bint/slay queen anatuma msg LUKU imeisha.

Yeye kashinda home toka asubuhi yaani anashindwa nunua umeme kweli hadi apige simu. Hivi wadada mbona mko hivi? Ujue mnajidhalilisha? Aisee!

Haya nimenunua umeme sasa kaa uangalie TV hapo sebuleni. Hapa jana tu kaniomba 50k na ana kazi eti utanilipa hela yangu wakati hiyo hela nimempa mimi jana.

Kiukweli nimemwambia sawa nitakupa hela yako, sasa sijui kanunua umeme wa Tsh. ngapi, ngoja nirudi home nione. Aisee! Slay queens mna kazi

Ila wakuu kuishi na mtu ni kibarua kigumu sana, inataka moyo sana. Sina gubu kama baadhi yenu mnavyosemaga nataka kuonyesha tu jinsi gani hawa wenzetu itakua ngumu kufikia maazimio ya Beijing

Tafuta hela bro ukizipata hizi karaha zitakuwa furaha. Huyu mwanamke hamko level sawa naye kiserikali, kiuchumi hata kichawi.
 
Mkwe keep.it up.
Hata shemeji yako namfundisha kupika.
Hapo punguza moto usiwe mkali sana, halafu unga unakata mzito.
Tutorial ya hii inakuhusu
Mkwe na ninaukata mzito kweli maana nikisema nitafune bila kinywaji mate mdomoni yanakauka.

Hii video ni sasa hivi?
 
Pole mkuu, hawa kina dada nimajanga sana.
We pigakimya tu alafuumuone atafanysje.
Mimi wakwangu kunahuduma flani alilipia tukaenjoy pamoja akadaidai nikamwambia sinakitu.

Akajifanya kunikaushia mimi nika kausha mara mbili,mwenyeeewe kashalegea pesa sijarudisha na maisha yanaendelea kama kWaida.
 
Ah ilikuwepo tu.
Fanya hivi.
Kwa nusu kg toa madonge matano.
Na unga ukishakanda acha kwa almost nusu saa kabla ya kukata.

As in
Kanda unga uache kwanza(unafanya self raising)
Unga tumia PPF(never disappoints)
After nusu saa sukuma na usambaze mafuta kisha kunja.
Acha nusu saa tena.
Sasa sukuma kwa ajili ya kupika.

Ukipika moto usiwe mkali wala mdogo.
Pan ipate moto vizur ndo uweke chapati , utaona kama unakaa hewa kwa kuvimba, kisha geuza na uweke mafuta.
You are good to go.
Mkwe na ninaukata mzito kweli maana nikisema nitafune bila kinywaji mate mdomoni yanakauka.

Hii video ni sasa hivi?
da
 
Ah ilikuwepo tu.
Fanya hivi.
Kwa nusu kg toa madonge matano.
Na unga ukishakanda acha kwa almost nusu saa kabla ya kukata.

As in
Kanda unga uache kwanza(unafanya self raising)
Unga tumia PPF(never disappoints)
After nusu saa sukuma na usambaze mafuta kisha kunja.
Acha nusu saa tena.
Sasa sukuma kwa ajili ya kupika.

Ukipika moto usiwe mkali wala mdogo.
Pan ipate moto vizur ndo uweke chapati , utaona kama unakaa hewa kwa kuvimba, kisha geuza na uweke mafuta.
You are good to go.

da
Kwa maelezo haya makosa yangu yapo kwenye kutosubiri nusu saa, kutumia unga wowote tu na hapo kwenye moto.

Stage ya kusukuma, kusambaza mafuta na kukunja niliiacha kwakua niliona chapati inakua na mafuta mengi. Kuanzia nakanda, na hapo kwenye kukunja na wakati wa kuichoma.

Nitajirekebisha nisimdisappoint binti.
 
Ok.
Ukishakunjia mafuta(kidogo) kwenye kupika unatumia kidogo sana.

Halafu tip nyingine ni kuhakikisha dough yako unaifunika muda wote mpk inaingia jikoni.

All the best , wajukuu zangu watainjoi mana mama anapika baba anapika.
Safiii
 
Niliwaasa vijana, mwanamke ambaye hata kukununulia soda ya 500 kwa hela yake hawezi huyo ni wa kutupilia mbali!

Utafuga mashine ya kukugombanisha na ndugu zako kisa choyo chake tu na kubania vyakula ndugu zako wasile.
Mkuu ur very right adse ....napitia mahusiano ya design hii najiandaa kumpiga chini anytime from now
 
Mkuu ur very right adse ....napitia mahusiano ya design hii najiandaa kumpiga chini anytime from now
Fanya maamuzi mapema before its too late mkuu! Wazuri wapo wengi utapata tu hakikisha huishi na mwanamke mwenye choyo ni aibu sana akija kuwa mkeo!

Nina bro ndugu wamemtenga kabisa anajiskia vibaya ila ndio hivyo tena. Mke alikataliwa na marehem mama yake toka yuko hai ila hakusikia. Sahizi hata akiumwa anapambana na hali yake watu kwake hatuendi.
 
Nimekusooooma ila sijui kama wewe unampenda huyo binti kila kosa unamwanika?? Huwezi ishi na mke wewe mana utakuja kufa kwa Stress .Kuishi wawili ni kazi kikubwa kupuuza vitu vingine khaa we mkaka
 
Hela uliyompa kabla ilikuwa sio ya LUKU, je kama ungekuwa hujampa hiyo hela na umeme ukaisha usingenunua? Na baada ya kununua LUKU angekuomba hiyo 50k usingempa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom