Nimemkuta anafungasha mizigo yake akitaka kuondoka!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Hebu tuchukulie kwamba, umeoa, na ndoa yenu ina miaka 6. Katika ndoa yenu mmebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume ambaye ndio anatimiza miaka 4. katika kipindi chote cha maisha yenu ya ndoa, mlikuwa mkiishi kwa amani na upendo wa hali ya juu. Kuna wakati mlikuwa mnatofautiana lakini yalikuwa ni mambo madogo ambayo mlikuwa hamyapi uzito.

Lakini ghafla siku moja unarudi kutoka kazini unamkuta mkeo anafungasha mizigo yake akidai anaondoka kwenda kuanza maisha mapya mahali pengine. Unapomdadisi sababu ya kufanya hivyo, anadai kuwa amekuvumila sana kwa miaka yote mliyoishi pamoja na anaanza kutoa mlolongo wa malalamiko chungu mzima akikutuhumu kwa mambo mengi ambayo yalikuwa yanatokea katika kipindi chote cha ndoa yenu lakini kamwe hakuwahi kulalamika zaidi ya kukaa kimya tu. Unapomuuliza, kwa nini hakuwahi kulalamikia hali hiyo, anajibu kwamba alikuwa anaogopa kutofautiana na wewe kwa kuwa wewe ni mbishi sana, una ghubu, mbabe na unajifanya unajua kila kitu.Unajitahidi kumsihi akae ili mzungumzie tofauti zenu na ikiwezekana mmalize na kuanza maisha mapya lakini mwenzio anasisitiza kuwa huo ndio uamuzi wake wa mwisho na hatarajii kubadilisha kwani amevumilia sana lakini sasa ameamua kuondoka ili awe huru na maisha yake.Hebu niambie kama ni wewe ungefanya nini?

Kuna wanaume wajuaji sana na kuna wanawake wapole sana na wanaume wakali hutumia udhaifu huo ili kumnyanyasa mwanamke mpole na hata kama wakianza majadiliano mwanaume mbabe huhakikisha ameshinda yeye na hatoi nafasi ya kumsikiliza mwanamke na ndiyo maana mwanamke anajua kabisa akianzisha topic fulani atapata majibu yote kabla hajamaliza kujielezea na hivyo anakuja na 20% ya nini malumbano?

Kuna mawili,
1. Amepata mwanaume wa kumdanganya.
2. Inawezekana ulimchosha kwa hayo ambayo wewe unayaita 'madogo'. Watu wengne hawana vpaj vya kubishana anaweza kunyamazia jambo na ukadhan limekwisha, kumbe yeye bado linamuumiza moyoni. Mwsho wa ck analemewa na kuchukua uamuz kama wa mkeo.
Chunguza kipi ni kipi.

Kuna wanaume wajuaji sana na kuna wanawake wapole sana na wanaume wakali hutumia udhaifu huo ili kumnyanyasa mwanamke mpole na hata kama wakianza majadiliano mwanaume mbabe huhakikisha ameshinda yeye na hatoi nafasi ya kumsikiliza mwanamke na ndiyo maana mwanamke anajua kabisa akianzisha topic fulani atapata majibu yote kabla hajamaliza kujielezea na hivyo anakuja na 20% ya nini malumbano?

And vice versa is true!!

Narudi kwenye maada, inabidi uanze kubembeleza upya kama mwanamke hataki kukusikiliza hata kidogo, hapo inabidi kuanzia kule anakoelekea. Bahati mbaya kama hukujui basi itakuwa kazi ngumu. Lakini cha msingi ni kujaribu kuonyesha unamjali na ikiwezekana siku hiyo hiyo umfuate atakapokuwa mzungumze yaishe.

People tend to over estimate makosa yao kwa wapenzi wao hasa kama huo Mpenzi sio mlalamishi kabisa... Watu wamepishaana maamuzi na jinsi ya response tegemeana na aina ya watu ambao ni wapenzi wao... or nature yao wenyewe... Hivo huo dada nimem feel kabisa... I understand, thou our typical selfish non-sensitive men tend to underestimate yale yooote yamuumizao mwanamke na kuchukulia kama it is a minor thing...

Mhhh hapa hebu tujiulize. Nini maana ya ndoa kwa wale wawili waliooana. Wanashindwa kukaa amoja pamoja na ubishi wa mwanaume. Huyo mwanaume hana weak point ambayo mke wake anaweza kumshikia hapo. Kweli ameaccumulate matatizo kwa siku zote anakuja kuamua kuondoka kama ndio solution ya matatizo. Sidhani kama hapo ni anatatua ila anaharibu zaidi
Naweza hisi kuwa wanayosema wenzangu kuwa amepata mwanaume mwingine na hizo anazotoa ni just utetezi tuu

People tend to over estimate makosa yao kwa wapenzi wao hasa kama huo Mpenzi sio mlalamishi kabisa... Watu wamepishaana maamuzi na jinsi ya response tegemeana na aina ya watu ambao ni wapenzi wao... or nature yao wenyewe... Hivo huo dada nimem feel kabisa... I understand, thou our typical selfish non-sensitive men tend to underestimate yale yooote yamuumizao mwanamke na kuchukulia kama it is a minor thing...

Asante AshaDii

Duh, mpwa mbona swali lina maelezo mengi hivyo? Ok, mimi ningeomba nanihiii mara ya mwisho ili tuagane kwa amani....halafu baada ya hapo lazima angesahau tu maana ningemrejesha kama enzi zile za kukutana nae mara ya mwanzo mwanzo! wataaalam wanasema hata mkeo-mumeo akikuudhi basi nendeni kiwanjani; mkirudi huko mmmmh kila mtu kachokaaaaa, hata kuoga hamtakumbuka tena

• Thanks
Reactions: SG8
Ni ndoa inayotambulika? maana kuna taratibu za kuondoka ambazo lazima zifuatwe! Ila kama walivyosema wengine mh kuna walakini!

Bht mambo yako. Aise sijakuona kabisa

Mambo yako si mabaya Bwan Rocky, naona twapishana tu...

jamani suala la kulimbikiza mambo binafsi huwa nalichukulia kama kihatarishi kikubwa cha mahuhusiano. Ni kama kutu inavokula chuma, moyo unakaa na mizigo kibao na siku ya siku unajiskia tu umechoka.

kuna wengine wao hawakosei, ukijaribu kuongea ndo unakutana na vigingi na hata kujiona umekosa zaidi. Unabaki tu kujiugulia kumoyo......

Tunatofautiana jinsi ya ku-handle situations. Kila mmoja ana react kivyake. Huyo kaamua kujiondokea

Hebu tuchukulie kwamba, umeoa, na ndoa yenu ina miaka 6. Katika ndoa yenu mmebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume ambaye ndio anatimiza miaka 4. katika kipindi chote cha maisha yenu ya ndoa, mlikuwa mkiishi kwa amani na upendo wa hali ya juu. Kuna wakati mlikuwa mnatofautiana lakini yalikuwa ni mambo madogo ambayo mlikuwa hamyapi uzito.

Lakini ghafla siku moja unarudi kutoka kazini unamkuta mkeo anafungasha mizigo yake akidai anaondoka kwenda kuanza maisha mapya mahali pengine. Unapomdadisi sababu ya kufanya hivyo, anadai kuwa amekuvumila sana kwa miaka yote mliyoishi pamoja na anaanza kutoa mlolongo wa malalamiko chungu mzima akikutuhumu kwa mambo mengi ambayo yalikuwa yanatokea katika kipindi chote cha ndoa yenu lakini kamwe hakuwahi kulalamika zaidi ya kukaa kimya tu. Unapomuuliza, kwa nini hakuwahi kulalamikia hali hiyo, anajibu kwamba alikuwa anaogopa kutofautiana na wewe kwa kuwa wewe ni mbishi sana, una ghubu, mbabe na unajifanya unajua kila kitu.Unajitahidi kumsihi akae ili mzungumzie tofauti zenu na ikiwezekana mmalize na kuanza maisha mapya lakini mwenzio anasisitiza kuwa huo ndio uamuzi wake wa mwisho na hatarajii kubadilisha kwani amevumilia sana lakini sasa ameamua kuondoka ili awe huru na maisha yake.Hebu niambie kama ni wewe ungefanya nini?

Namuacha aensde, najua baadsa ya wiki tu atarudsi mwenyewe

Back
Top Bottom