Nimemkumbuka mkarimu wa Kipemba,aliokota vyeti vyangu na kunirudishia bila hata kupokea shilingi

Abarikiwe huyu ndugu...na wewe pia ubarikiwe kwa kukumbuka wema wake hata baada ya miaka kupita. Bila kujali dini, rangi,kabila wala utaifa ;binadamu ndivyo tunavyopaswa kuishi. Thawabu ya tendo hili ni kubwa kuliko pesa au dhahabu yoyote duniani.
Unapofanya kitendo kama hiki unakua unavuna baraka nyingo bila wewe kujua. Unafanikiwa hata pale usipotegemea.Na unakua na amani ya ajabu.
Kisa hiki kitufunze wengine tusio na utamaduni au utaratibu wa kufanya hivi.
meghan markle nakubariki!!
 
Back
Top Bottom