Nimemkumbuka Ex wangu

Pole boss wangu. Mie mwenye napata taabu kama yako toka Jo anipige cha mbavu sijaona mbadala wake, nilipo nimejibanza, ila ikatokea aakchika na mume wake wa sasa navuta jiko.. huwa napata taabu sana anapo nisalimia kwa whatsapp alafu profile picture yake kapiga yeye na mumewe huwa naumia sanaaa... natamani nifumbe macho nisione picha ila haina namnaaa
Pole mkuu
 
Yani kuachana nae tu umeenda kukitembeza mara tatu! Na bado unaomba msamaha kwake..
Acheni kukimbilia mahusiano pindi hujamove on hilo linakuongezea CV ya umalaya!
Tulia ukishamsahau anzisha mengine unaweza kuta unajuta kwann hata ulikua na hajiri!😬
 
Mkuu pole sana kama ndo Hajir mhoamed, andika maumivu, nategemea kufunga naye ndoa mwezi Wa 12 tena alinisimulia kila kitu, nina namba yako so ukileta ujuaji naiweka hapa
 
Sorry my King...
Will never leave you mhenga wangu !
Thanks to hear from you, my lady, hoping tomorrow utanielezea if God wish, mana nilikuwa na wasiwasi ya kilichokukuta had ukawa hivyo for those days.
Sleep well.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom